Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #381
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USIRUHUSUUU HUO UJINGAA labda kama ana miaka 40 huyo binti akaforce kuolewa huko anakoenda hapo mnambana sana ila kama ni under 35 atulie hapoHabari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Unampa kila kitu ila anamiss kupigwa mbooHabari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Anajipambania apate ndoa ya kuforce sogea tukaee... umrii unakwendaaa 😀 😀 😀Mtoto wa kike anajipambania nini 😂😂😂 mtoto wa kike ni kusubiri ndoa na kutunzwa basi... unapambana kwani we ni Goliati?
Kama ulitaka kuwa goliati si ungesema tu! 🥱
Watu wanaona kama wana hati miliki na watoto wao wa kike,wangu aliondoka akiwa na miaka 24.
Ana kipato kinachomwezesah kupanga.
Anakaa karibu na ofisini kwake, kwangu ni mbali na mji so inamgharomu muda na pesa kwenda na kurudi kazini!
Nilimruhusu , akajifunze na maisha binafsi, gharama binafsi na maamuzi binafsi kabla hajaingia kwenye ndoa.
Check ups tu za hapa na pale although wala sina tu time nazo KIHIIIIVYO!
Nyumbani kwako inawezekana kuwa GATE KALI. Huyo mtu hata yeye ni binadamu mwenye hisia, sio jiwe. Hebu muache akapange mkuu.Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
yesWatu wanaona kama wana hati miliki na watoto wao wa kike,
Mtoto akishafika miaka 23+ hapa aende tu,
Unless unaona hana akili ana mapepe sana
Nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
hapana mkuu, nimeolewa.