lufakale
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 321
- 566
Mwache akapange ajifunze maisha mkuu. Hata kama kunakitu nyuma ya pazia acha kimpate hiyo ndiyo elimu dunia. Kisicho kuua kitakuimarisha kiakili. Cha msingi mpe baraka zako kama baba mengine mwachie MUNGU full stopHabari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?