TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Unampa na nanihii?Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?