Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Mruhusu akapigwe miti kwa uhuru,nilienda UDOM,nikakuta hostel zinatosha,lakini wadada baadhi yao hawataki kukaa hostel,wanapanga mtaani,yaani ni shows how,mtu anaolewa miaka mitatu au zaidi,anakuja kuachana na mwanachuo mwenzake wakimaliza masomo.Mpe uhuru apigwe kwelikweli,tena msisitize asipange chumba ambacho hakina ceiling board,atakua kero kwa wapangaji.
Mpe uhuru,japo ukimsihi kua awe making,atakujibu kua,anajitambua.
Mruhusuuuu...... dadeki.
 
Mruhusu tu maisha ni mwendelezo maswala ya kupigwa pipe usiywaze ata akiwa apo atapigwa tu na sio mpaka afikishe miaka 30 ndo awe bilionea ata kwa hiyo miaka inawezekana ameona fursa
 
Mruhusu akapigwe miti kwa uhuru,nilienda UDOM,nikakuta hostel zinatosha,lakini wadada baadhi yao hawataki kukaa hostel,wanapanga mtaani,yaani ni shows how,mtu anaolewa miaka mitatu au zaidi,anakuja kuachana na mwanachuo mwenzake wakimaliza masomo.Mpe uhuru apigwe kwelikweli,tena msisitize asipange chumba ambacho hakina ceiling board,atakua kero kwa wapangaji.
Mpe uhuru,japo ukimsihi kua awe making,atakujibu kua,anajitambua.
Mruhusuuuu...... dadeki.
Muwaache wanachuo wafaidi uhuru wa maisha, boom tamu bhana.
 
Nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti

na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Utakuwa umelelewa vizuri, njoo inbox nikuoe🤣
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Ana umri gani binti yako...?
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Je anafanya kazi?
 
Shida siyo boom,shida ni kwamba baadhi yao wanafanyana sana,wanazalishwa sana.
Ndo acha wafanyane na kuzalishwa sana, muda wao ndo huo.
Wafaidi utamu wa maisha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usimruhusu labda kama ni mtumishi au mfanyabiashara n.k hatafuti uhuru huyo anatafuta ujinga na unaweza letewa watoto wasio na kwao n.k hata tz ina uhuru lakini kuna polisi, wanajeshi, mahakama, magereza, bunduki, vifaru unadhani ni vyanini vyote hivi? Hata akiwa nyumbani atafanya ujinga ila angalau kwa kipimo na siyo aende huko ambako hana hata wa kumuogopa akamwage lazi
 
🤣🤣🤣mzee umenishtua kisema anapata kila kitu...
 
Huyu anataka kuikimbilia usingle maza, alaf aje humu analia lia baba mtoto hatoi matunzo.
Huku akisema na kuweka ma status wasapu mtoto wangu ndio faraja yangu.

Mwambie huyo binti atulie nyumbani mpk aolewe mbona umri unaruhusu 24??

Bora uwe single mother wa 35 kuliko kuwa single mother wa 25.
 
Back
Top Bottom