Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Na nishajiapiza sitoenda kupanga chumba hata siku moja labda nipate kazi mkoanii… nitakaa home mpk niolewee
Ni heshima pia kwa wazazi binti kutoka Nyumbani kwenda kwa Mume, Na sio kutokea Gheto kwake alikopanga, hasa akiwa hana ajira/ kazi yeyote ya kumfanya asiishi nyumbani kwa Wazazi.
 
Aiseee
Huo umri unatuchanganyaa wadada

Mimi mama angu amekataa katakata,, kaka zangu ndio hawataki kusikia mimi kutoka nyumban kwenda kupanga

Nilivyokuwa namaliza chuo nilisema sitokaa nyumbani nitaenda kupanga hiyo ni kutokana na kushawishiana na warafiki wenzangu kila mtu anasema anapangaa…

Sasa nilivyomaliza chuo kazi enyewe hakuna hela ya vocha mpk nipewe kusuka yaani kila kitu nikajisemea kimoyomoyo hivi kweli naenda kupanga nitaishijee si nitaishiaa kutumiwa na wanaumee tu

Maana hakuna mtu wa familia yangu angenilipia kodi

So now nimejitulizA tu na hivi ni lastborn nahama mikoa nikijisikia kwenda kwa dada simu moja nauli inatumwa huyooooooo navukaaa mikoaa hivyohivyo na kwa kaka zangu

Na nishajiapiza sitoenda kupanga chumba hata siku moja labda nipate kazi mkoanii… nitakaa home mpk niolewee
mimi sijakatazwa ila sitokiiiii
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
hapana mpe ruhusa akapange,huo ni utaratibu wa kawaida
 
Kahalalisheee tu mkuu...

Ilaa Mali zako zote mwandikiee mama Yako km hakimu..

Cku yakitokea yakitokea katka hyo ndoa usijutee maaan inaonekana unaulazimisha moyo ufanyee ktu ambacho Kwa ndoa za kikristo au waislam czan km kpoo mkuu..

Ivi wewe umesoma vizuri huu uzi ama umekurupuka tu.?.
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Point of Correction: Mkuu huwezi mpaka kila kitu. 🥒🍆🥒
 
Duuuu hapana kwenda kupanga by 24? Nop.....apambane ikitokea anaolewa atokee kwangu sio gheto...
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Una uhakika unampa kila kitu?baba ana limit ya kumhudumia mwanae wa kike!si kila kitu
 
Nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti

na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Bado unaishi na mama yako?
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
binti kampata yahaya akafukuliwe mtaro kisawasawa bila bughudha, ila atarudi nyumbani akilia ujiandae kumpokea baada ya kupigwa tukio otherwise piga stop kama baba
 
Back
Top Bottom