Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Unakosea sana miaka 24 ni mtu mzima mwache akatafute maisha
Kweli kabisa je kama amepata kazi CRDB Kahama utamkataza kwenda kuishi huko mpaka aolewe? Kuna umri mtoto akifika awe na uhuru wa kuishi maisha aliyoyachagua
 
Kweli kabisa je kama amepata kazi CRDB Kahama utamkataza kwenda kuishi huko mpaka aolewe? Kuna umri mtoto akifika awe na uhuru wa kuishi maisha aliyoyachagua
Hapa walau pana point...vyenginevyo mtt wa kike aondoke kwao kwa kuolewa tu
 
Shida ni kuwa kila jambo na wakati wake, pia zama zimebadilika ila ilitakiwa binti akitoka kwao aende direct kwake(ndoa)
 
Mruhusu aje tumpangie nyumba kigamboni kisota mtoto apotee tumpige pipe akipata mimba tumkimbie turudi kwwnye familia zetu ahangaike arudi hapo nyumbani na kazawadi ka mtoto
 
Habari wadau,

Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
mambo yafuatayo yanaweza kumtoa mtoto wa kike nyumbani:-
(1)kuolewa
(2)anafanya KAZI kilometer 80 mbali na nyumbani.
(3)Kusafiri kikazi.
Kuwa makini na umwambie hauwezi kulea wajukuu wasio na baba rasmi.
 
Hapo sina cha kusema! Mimi mwenyewe sijui itakuawaje! Ninaye ana 23 na anamaliza Degree yake mwezi wa saba mwaka huu,sijui na mimi ataniambia nini.
 
Kashapata DUDU kwahiyo kaona ndo muda wake wa kwenda kuitumikia DUDU. Kwa mzazi mpumbavu atamwacha binti akapange.
 
Back
Top Bottom