Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Nilipo ona tu neno kuleft nikajua bado hjujawa baba/mama na kama ni babaa/mama huna mtoto mwenye umri wa kuleft
 
😀😀😀😀😀kila kitu tayari bado bwana harusi tu
Alafu nyie wanawake wa jf ambao mpo single lakini kila leo mnanipiga vibuti huko pm aisee mkachomwe moto tuu.
Sasa bwana harusi nipo hapa kwa nini unanikataa
 
Alafu nyie wanawake wa jf ambao mpo single lakini kila leo mnanipiga vibuti huko pm aisee mkachomwe moto tuu.
Sasa bwana harusi nipo hapa kwa nini unanikataa
Kataa ndoa😁😁😁
 
Watoto wakike huondoka nyumbani wakiolewa au kuwa kikazi nje ya mkoa huyo wako ana lake jambo, binafsi siwezi kukimbilia kupanga wakati nyumba ipo nikakae mwenyewe
 
Mwambie amlete mchumba wake huyo umjue hii ni kwa sababu za kiusalama maana kumzuia mpaka point hii ishakua ngumu .
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Sio kitu nyuma ya Parzia bali mtu.
 
Anaumri mkubwa sana na mpaka hapo tayari anauelewa mkubwa sana.
Ushauri wangu ni kwamba muache akapange , huenda labda anabwana keshampangishia nyumba mahali.
 
Back
Top Bottom