Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Mkuu mahitaji yote unampa!!!!?🤔🤔🤔 Hoja ni neno yote
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Haumpi mahitaji yote ndio maana anaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama yake angekua anakaa kwao mpaka leo ungempata wapi[emoji848]
 
Labda ameshakutana na sitaki ndoa anataka kumpa ujauzito. Mwambie kuwa huo uhuru anaotaka una hatari zake, na ww mzazi hutakuwa na la kufanya zaidi ya kumsikitikia pale hatari hizo zitakapomwangusha. Mpe mifano hai unayoifahamu halafu muache aamue.
🙏🙏
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Humpi kila kitu..!!! Mshedede unampa wewe..!? Kapata Bwana huyo
 
Mwache binti akapigwe pipe na minjemba damu ichangamke sio unambana bana, alafu yeye anaishia kuhadisiwa na wenzie kua pipe ni tamu sana.. mwache na yeye akachezee machine
 
Kama Mzaz hutakiw kuleta Uzi kumhusu Mwanao aisee utachanganyikiwa bure..

Enewei..

Huyo hafaidi mitombo vzr.. Anatak apike na Kupakuliwa...
 
Back
Top Bottom