Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti


na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Kwhiyo uko bado kwa mzazi???
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Angekua wa kiume sawa...
Napenda kujua umri wake?
Je? Anasoma?
Pia muulize sabb ya yeye kutaka kwenda kupanga...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
 
Kama huu 24yr usimruhusu. Toka naye out piga story akuambie ya moyoni ,mwambie dunia Ni Ile Ile anapopitia ulipitiamo na umwambie ulivyokuwa na wachumba wengi kabla ya kumuoa mamaye.
Huyu bado mdogo asiwe huru mtt wakike,Ila Kama akapata kazi mbali na hapo home mwambie aende. Yaani ana kipato tayari. Pia mwambie suala la yeye kuwa huru linavyoleta picha kaa jamii yetu ya kiafrika.
Yaani kipato anacho. Pia Kama Kuna mwanaume anampenda mwambie atakuja kumchukua tokea mikononi mwako
 
Nashauri useme naye vizuri, mdadisi chanzo chake cha kuendesha maisha kama hana ya kazi ya kufanya kumuingizia kipato lakini kama unajua ana kipato kwa umri huo mpe baraka akaanze maisha na hasa kama siyo mwanafunzi.
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Ana umri gani?Ana kazi rasmi inayomuingizia kipato?hayo ndio maswali ya msingi ya kuzingatia kabla hujamruhusu aondoke

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom