polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kwa mila zetu kwa miaka ya zamani binti miaka 24 kama hajaolewa baso bado ni mtoto wa mama na huenda akawa bado bikra na anakaa nyumbani na kupangiwa kila kitu cha kufanya na wazazi wakeSio hivyo Sir. Zamani binti wa miaka 24 tayari angeweza kuwa hata na kijukuu maana angekabidhiwa mume mara alipovunja ungo. Makabila mengine hata kabla ya hapo. Haya mambo ya mwanamke wa miaka 24 kuonekana bado mtoto anayetakiwa kuongozwa na mzazi wake ni ya siku hizi na ni ya kwetu tu. Mwanamke wa miaka 24 ni mtu mzima na ana haki ya kujifanyia maamuzi yake ( hata makosa) bila kuingiliwa na mwengine.
Amandla...