Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Lazima akupe sababu zankufanya hivyo na aking'ang'ana mpe masheriti kwamba aende ila asije akarudi kwako na tatizo lolote lile litokanalo na uzembe wake mwenyewe kama mimba au kushindwa kulipa kodi

Hapo kuna kamsela kamemtia ujinga ili kapate urahisi wa kumtumia , kakisha mtumia na kakimchoka kanamuanzishia vitimbi vya kuto lipa kodi na huduma na ujinga mwingine na huenda katakuwa kamesha mpiga mimba ,hapo lazima arudi kwako tena

Mimi mzee nakumbuka miaka hiyo wakati dada yangu kaleta ujinga huo baada ya kujiona anahitaji uhuru mzee alimwambia kuondoka ondoka ila nataka uondoke kwa maandishi na kiapo cha kuto kuniletea mzigo wa tatizo lolote tena kwa ujinga wako baada ya kutoka kwangu.
 
Usimruhusu usimruhusu usimruhusu, mtoto wa kike akishaanza kupanga tu ni tatizo ndio hao wanaishi na mwanaume kinyumba pika pakua si unaona vyuoni? Mtoto wa kike akae nyumbani mpaka aolewe, labda awe amepata kazi nje ya mkoa mnaiishi hapo sawa, lingine mwanamke akijipangia anakuwa chakula cha wote, tofauti na akiwa kwako angalau anakuwa cha wageni
Kwaio akifa na mbususu nzima....huko mbinguni anamlingishia nani?
 
Dunia imechange, binti wa 24 anaonekana mtu mzima,
Bado anahitaji muongozo wa wazazi wake
Sio hivyo Sir. Zamani binti wa miaka 24 tayari angeweza kuwa hata na kijukuu maana angekabidhiwa mume mara alipovunja ungo. Makabila mengine hata kabla ya hapo. Haya mambo ya mwanamke wa miaka 24 kuonekana bado mtoto anayetakiwa kuongozwa na mzazi wake ni ya siku hizi na ni ya kwetu tu. Mwanamke wa miaka 24 ni mtu mzima na ana haki ya kujifanyia maamuzi yake ( hata makosa) bila kuingiliwa na mwengine.

Amandla...
 
Usimruhusu usimruhusu usimruhusu, mtoto wa kike akishaanza kupanga tu ni tatizo ndio hao wanaishi na mwanaume kinyumba pika pakua si unaona vyuoni? Mtoto wa kike akae nyumbani mpaka aolewe, labda awe amepata kazi nje ya mkoa mnaiishi hapo sawa, lingine mwanamke akijipangia anakuwa chakula cha wote, tofauti na akiwa kwako angalau anakuwa cha wageni
Wakulungwa huwa tunaita "CHAWOTE" au "CHAMA LA WANA" yani Binti anaweza kuingiza Me hata watatu kwa siku 1 na wote wakatafuna tu K.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Huyo amepata Bwana! Na pengine ni mume wa Mtu! Kaa nae mpe ushauri kwani akisema akakae mwenyewe sio rahisi kupata Mume- ataleta maswali mengi sana kwenye jamii inayomzunguka. Mwambie kuwa kama ana mtu anaetaka Muoa amlete nyumbani ila kwenda kupanga NO big NO- akikaidi hilo Mwambie kuwa una Radhi nae kama ataondoka bila ridhaa yako.
 
Wakulungwa huwa tunaita "CHAWOTE" au "CHAMA LA WANA" yani Binti anaweza kuingiza Me hata watatu kwa siku 1 na wote wakatafuna tu K.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Cha wote tena wengine wanaliwa bila hata kutongozwa unaenda kwake mnajifajya mnapiga stori ukiemdw kimkakati unapiga stori za mapenz ni rahisi sana kumla
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Anza kuandaa Pampers na ARV's zisiwe mbali nae kwa Matumizi ya Maandalizi ya Maamuzi aliyoyachukua.
 
Back
Top Bottom