Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti

na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Kha! Mama mbabe kweli kweli
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?

Umri? Ana kipato? Kama ana umri mzuri na kipato, na anataka kwenda ni sawa, labda una ukoloni,

Samahan lakini: Sijaelewa uliposema anapata maitaji yake yote kwako, labda ufafanue.
 
nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti

na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.

Very good, nafikiri hii nitatumia kwa binti Yangu
 
Labda umsaidie mleta uzi, nini hasa kinapelekea mawazo hayo?
mimi nilitaka tu niwe natokea kwangu, yan maisha ya kujipangia leo sili nilale njaa, uhuru uliopitiliza na kwa muda huo nilikua nafanya kazi sio siri hakuwah kunibana zikitokea events kazini ni lazima nimweleze hakuwah kunikatalia uzuri nilikua narudishwa saa zingine usiku saa sita sasa kikubwa ni ule uhuru wa kupitiliza, kutaka kua na maamuzi yangu hiko ndio nilikitaka
 
hope wewe ni baba, watoto wa kike wako karibu na baba zao kuliko mama zao, hakikisha kwako anajisikia amani yan awe huru kukueleza lolote linalomsibu hata lie la kijinga halaf la mwisho uangalie marafiki zake anao hangout nao hao ndio wabaya,

Asante Dada kwa hizi hints, maana nso huyo huyo ninaye, sina mwingine, have to play well my cards.
 
Back
Top Bottom