MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kuna character za mtu unaweza msikiliza anachohitaji na Kuna wengine you can't hata iweje.Kwanini,wanaume tunaogopaga wanawake waliopanga wenyewe
1.je amepata kazi nje ya mkoa ulipo?
2.ana business proposal amekupatia kua anahitaji uhuru iliaweze fanya?.
3.anakipato kitakachomtosheleza kuhimili maisha ya mijini...at least basic needs.
4.or ni wale mummy and dad sasa masela wanaona dingi anaweka kauzibe tusepe home.
NB
Kuondoka home inahitaji sababu nzuri na za mana kwa mtoto wakike. .soon utaletewa wajukuu wasio na baba tena wengi tu.