Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

Miaka 24 ni mtu mzima let her go lakini mweleze faida na hasara zake akuelewe.

Mtoto akifikisha miaka 18 nabaki kuwa mshauri¹ sitamlazimisha kitu apambane tu na hali yake.
Kwa wazungu umri wa kuanzia miaka 18 vijana wanajielewa sana, mfano uwachukue mabinti wakizungu wa miaka 18 na mabinti wa kiafrika wa miaka 18 uwapeleke mfano uwapeleke India wakasome, Baada ya miaka 3 binti wa kiafrika watajazwa mimba.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli.
Ila wapo wachache wanaojitambua.
 
Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Atakuwa ana ujauzito
 
Aisondoke nyumbani Hadi ujue wapi anaishi anaishi na nani anafanya Nini huko.....
 
nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti

na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Mama aliupiga mwingi kwamba utatoka ukiwa mfu. Au sio?
 
anataka uhuru wa kupigwa pipe huyo

Mkazie asitoke adi aolewe au apate kazi mbali na hapo nyumbn
 
Back
Top Bottom