Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

Namba 4 sijakubalina na wewe
Money is better than education.
Pesa na wanawake ni sawa na pande mbili za shilingi.
 
Uko sahihi ndugu
 
1 ni kawaida kwa mwanaume mwenye kupenda mwanamke wake. Asiyekupenda hawezi kuwa na mihemuko na wewe. Mapenzi ni hisia na sio vinginevyo.
2. Pesa zina mchango muhimu katika mahusiano ikiwemo ndoa. Pesa ni kitu muhimu pia kwa mwanaume yeyote. Katika maisha yoyote ya mahusiano mwanaume tunza na lina pesa yako
 
Kwenye hasira hapo ndio pabaya zaidi huwez furahia maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…