Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Kama ni mtoto wako lazma uhangaike kwa ajili yake. Anapoharibikiwa kwa namna yoyote ile akiwa bado mdogo, wewe kama mzazi utaguswa/utakua affected pia kwa namna yoyote ile
 
Ni maumbile tu ndugu,dogo na miaka 14 class 7 kifuani hakuna kitu na hivi anacheza na vitoto vya 2/5years watu wakiambiwa ana 14yrs hawaamini.
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;

1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?

2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
hii mada ingeletwa na mama ningechangia, lakini kwa kuletwa na baba inanifanya kuwa na maswali ambayo itoshe tu kusema hiiiii bhaghosha.
 
Dah! Ningekuwa me ndo mzazi sijui ndo mngeniona sijiheshimu asee[emoji119] me simuachii mama mtu kitu nam-face my daughter namuuliza "Ehe! kulikoni mbona matiti yamekuwa hivi?"
Mmmmmh. Umenikumbusha mbali sana,,kipindi hicho naogeshwa bado,maana mama alikuwa ananichunguza kweli,akaniuliza mbona huku kumevimba ni kitu gani unafanya nikakusemee kwa baba yako?? Embu niambie ukweli[emoji23][emoji23],,,,,,,,,,,,kipindi hicho hata sielewi kitu chochote
 
Kiuhalisia umri wa mtoto wa kike kuvunja ungo ni kuanzia miaka Tisa japo inategemea wengine huwai wengine huchelewa
Kuhusu matiti ni miongoni mwa mwabadiliko anayopata wakt wa balehe lkn suala la kuwa makubwa ni maumbile tu pia huenda hormones nazo zunachangia pia hta watu wazima huwakuta wengine hubadilika baada ya kupata mtoto wa kwanza

Pia mavazi watoto wakianza kuona matiti wengine wanavaa vitop vya kuzuia yasionekane kumbe wanasababisha maziwa yalale unakuta yanalala muhimu mama amuelimishe pia amchagulie mavaz mazuri ya kujistiri matiti yake
 
miaka 12 yamelala?!
haiwezekani mpeleke hospitali akachunguzwe kitaalamu
Inawezekana tu na jambo la kawaida kwa wenye maziwa membamba, Kuna mdudu zamani walikuwa wanangatishwa yawe maneno hivyo hata yakilala yanakuwa na mvuto ila hao maziwa membamba ni mwendo wa kuvaa sidiria mapema Ili yasilegee sana na mazoezi ya mikono na kifua.
 
Mwanaume kuchunguza maziwa ya binti yako huo ni utu uzima ovyo. Kwani unamtamani
 
Mi sio mzazi, ila mkuu pole.

Nashauri ungewaona wataalamu. Mpeleke mtoto hosp kwa wataalamu zuga kama mnaenda kutibu ugonjwa mwingine tu usimuambie ni kuhusu maziwa yako maana ataanza kuyachukia.
 
Akimaliza kipindi cha kupevuka yatakaa sawa. Jaribu kumnunulia tight nzuri za kifuani na brazia ambazo ni og hilo so tatizo ni maumbile tu
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;

1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?

2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Vipi mwili wake, ni mnene(pengine kuzidi)
 
Kuna maneno huwa yanasema unapoona mtoto anaanza mapema kuwa na maziwa makubwa umpe mtoto wa kiume wa rika lake ampige nao kidogo kifuani,sijui ufanisi wake au miiko yake anaejua atoe muongozo
Mabinti wa aina Hii iwe kaenda Kanisani Msikitini au matembezi wavae sare za shule ili kuwaepusha vijana kesi na Jamuhuri
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;

1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?

2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Acheni Upuuzi 'Maku' haichunguziki na 'Bwege' Mwingine yoyote zaidi ya anayeimiliki tu.
 
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.

Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.

Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!

Namhurumia binti yangu;

1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?

2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!

Namsaidiaje huyu wadau?!!!!

Ahsanteni
Badilisha menu ya home haraka sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.

Kuku broiler achana nao kabisa.
Refined food hasa nafaka za kukoboa achana nazo.

Opt for organic meal
 
Mwambie mama yake awe anamkandakanda na mwiko...yatapungua.Usiupashe,mkande ivoivo
 
Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Umefeli kama baba , inaonesha maisha uliyoishi ujanani unaogopa yasimjie binti yako sasa unatafuta chaka la kujifichia ndo mambo kama hayo binti inafikia hatua anapigwa mimba baba haujui eti "sifuatilii binti ila muongozo wa maisha nimempa" how?

Haujui binti yako kwa asilimia kubwa anajifunza kutafuta mume bora anapoona mfano wako kwa mama yake ? Hivyo ni vizuri ukawa role model wake na ukajua vitu baadhi baadhi kumuhusu wewe kama mzazi na kama role model wake.

N.b
Hii pia ni kwa watoto wote wa kiume na kike wazazi muwe karibu nao sana .
 
Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Yaani binti umeona ana tatizo usimfuatilie? acha mzaha mkuu. Mtoa mada afate ushauri wa comment namba 5
 
"Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?!!"

Mkuu we ni mpumbavu na sitatoa mchongo wowote. Hapo ulemavu uko wapi? Je maziwa ya mama yake yamesimama? Je kila mwenye matiti yaliyo"lala" ni mlemavu"
Angalia na umri wa mtoto, lazima kuna kitu hakiko sawa na tambua bullying inaharibu sana saikolojia ya mtoto. Acha ujuaji
 
Back
Top Bottom