- Thread starter
- #21
Mimi nimezika ndugu na Jirani jumla wawili Kwa case ya kuganda Damu sababu ya Chanjo feki ya COVID .Damu ya nani imeganda? Mimi ndugu zangu 4 wamechanja na wapo fresh tu mwaka wa 4 sasa hizo story za damu kuganda nitajie mmoja tu hapa Tanzania?
Tokea chanjo imekuja Covid 19 ilipotea duniani na lock down zikaisha, cha ajabu baada ya kuumbuka mkidhani hazitafanya kazi leo mnadandia kwenye hoja ya side effects!!
The telegram newspaper UK, limeripoti pale Uingereza pekee, Kuna case zaidi ya 50 court wananchi wanashtaki kampuni hizi za Chanjo fake Kwa vifo na kuganda Damu zitokanazo na Chanjo fake.
Unasemaje hapo?