Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Juzi Jumapili nilishangaa kuna sehemu nimekaa restaurant,nasikia Efm redio tangazo la kuchanja COVID......... Wakati chanjo zenyewe ndiyo hivyo tena zingine wanazitoa sokoni,ila Ummy atakuwa anaona aibu..........
NB:Tulio na certificate bila kuchanja tunawasilimia wote mliochanja Astra Zeneca 😀
🤣 🤣 🤣 Watanzania bwana!!!Ummy anajua Eti Watanzania ml 32 wamechanja,
Kumbe wengine wamenunua vyeti, Chanjo ikamiminwa chooni😀😀
🤔🤔🤔Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
Wewe ni wale wajuaji wasio na maana, una uthibitisho gani JPM alikuwa na betrii ya moyo? Walio kwambia alikufa kwa betri kufeli ndio wanahisiwa kuhusika na kifo chake, na baada ya kufa kwake ndio hao umewaona wakijitahidi sana kumchafua hata huko kaburini. Nikuulize, mbali na JPM uliwahi sikia tarifa ya habari ya mtu kufa kwa kufeli betrii ya Moyo?Vipi ARVs unaonaje na zenyewe zikapingwa? Au hazina side effects? Chanjo ya manjano na homa ya ini hazina madhara? Chemotherapy vipi? MRI Scan haina side effects? Mbona hazipigwi marufuku?
Ni ujinga unakataa chanjo A huku unatumia chanjo B ambayo ina side effects kubwa zaidi!! Kama JPM tu alisema chanjo tuzipinge sababu wazungu hawatupendi ilihali alikua anatumia betri ya mzungu kusukuma moyo wake!!
Kwa Tanzania anayestahili credits ni Magufuli ndiye aliyepinga na wakati wake hizo chanjo hazikulettwa nchini.Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. 🇹🇿
Karibuni🙏
Source: The Telegraph Newspaper UK.
Alishinda ubunge wenyewe hata ndani ya CCM yenyewe??Huyu ni National figure,
Si mbunge wa Dar pekee!!
Hivi Mtanzania maskini, Damu igande, atajinasua vipi?
Labda ni ujinga au uzembe wa ndugu zako kutumia chanjo feki.Mimi nimezika ndugu na Jirani jumla wawili Kwa case ya kuganda Damu sababu ya Chanjo feki ya COVID .
Kuna kesi ngapi mahakamani kwa watu waliopata uziwi na upofu kutokana na kutumia dawa ya quinine kutibu malaria??The telegram newspaper UK, limeripoti pale Uingereza pekee, Kuna case zaidi ya 50 court wananchi wanashtaki kampuni hizi za Chanjo fake Kwa vifo na kuganda Damu zitokanazo na Chanjo fake.
Unasemaje hapo?
Na wizara ya AFYA imeripoti kuwa ,Watanzania Milioni 32 wamekwisha chanja Chanjo zilizothibitika ni za majaribio.
Nani awajibike Kwa hili?
Tanzania inashangaza sana, nimeona pia huko Arusha watu wanatengeneza hadi control number feki kuchepusha na kuiba mapato ya serikali!Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
Haya mambo haya bhanaSalaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. 🇹🇿
Karibuni🙏
Source: The Telegraph Newspaper UK.
Kwa Tanzania hali ni mbaya sana. Hasa vijijini wananchi walilazimishwa kuchanjwa hizo chanjo za mkopo, yaani mwananchi alikuwa hawezi kutibiwa kama hajachanja na hii ilipelekea watu wengi kuacha kwenda hospital. Na hili la chanjo nadhani Dkt Samia anawajibika moja kwa moja.Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. 🇹🇿
Karibuni🙏
Source: The Telegraph Newspaper UK.
Tanzania inashangaza sana, nimeona pia huko Arusha watu wanatengeneza hadi control number feki kuchepusha na kuiba mapato ya serikali!Ilikuwa simple tu,unatuma twenty,unasubmit majina yako na namba ya Simu,faster unaende ku-dowload na kuprint......kuna jamaa alikuwa kituo fulani DSM,amejenga kwasababu ya zoezi la chanjo......maana binafsi nilimuunganisha na watu zaidi ya 30
Hakushinda.Hapa niliungana na magufuli vita ilikuwa kubwa sana.ila alishinda.
He won the war but he lost the battle!Hakushinda
Kwa maono yako.Hakushinda.