zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
We kichaa kweli, yaani taarifa rasmi ya serikali inasema alikua anatumia pacemaker alafu wewe unayeishi porini ndio unajua ukweli? Huo ndio ujuaji sasa. Hilo jamaa lilisema tusitumie chanjo wala barako tumtegemee Mungu cha ajabu yeye badala ya kumtegemea Mungu kwenye ugonjwa wa moyo, akaanza kutumia betri la mzungu!! Kama sio unafiki ni nini?wale wajuaji wasio na maana, una uthibitisho gani JPM alikuwa na betrii ya moyo?