zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Punguza ujuaji, taarifa rasmi inasema pacemaker ilipata hitilafu ya umeme sasa wewe unatoa wapi hizo hoja?uelewe hizi kampuni haziuzi vifaa vyake madukani huwa zinaingia ubia na hos[itali husika inayopandikiza na kukiwa na shida zinapewa taarifa na madakatri hulipwa pesa waseme chanzo cha kifo tofauti kama shida ilikuwa ni kifaa. Sasa jiulize kwa hapa Tanzania ni hospitali gani wanapandikiza PACE MAKER? Kama alipandikizwa nje ilikuwaje alazwe Tanzania kwa shida wasiyoiweza, kwa mtu wa cheo cha Rais,
Pacemaker alipandikizwa uingereza akiwa anasoma UDSM, na uzi upo humu wenye gazeti la "The Hill" wakiomba michango ya wasamaria wema akafanyiwe huo upasuaji.
So kama hujui kitu kaa kimya sio ujuaji mwingi.