Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Kwa hiyo, wewe ukikuta dawa ya malaria imepitwa na wakati (expired) ndiyo kusema dawa zote za malaria hazifai au hiyo "specific dose"? Sijui watu wengine reasoning yenu ikoje! Mbona hata hapa kuna dawa zinaisha muda wa matumizi? Wiki mbili zilizopita nilinunua mikate brown mjini na kwenye label kulikuwa kulisomeka "mwisho wa kutumia ni Aprili 25". Ina maana toleo la mikate niliyoikuta na kununua ilitakiwa itumike hadi tarehe 25 Aprili, lakini haikuwa na maana kwamba mikate yote Tanzania mwisho wake wa kutumika ilikuwa tarehe 25 Aprili. Chanjo pia zina muda wa kutumika na baada ya huo muda hiyo dose iliyotolewa inakuwa muda wake wa kutumia umeisha. Kwa hiyo, inabidi update dozi nyingine. Sasa wewe unaelewa kwamba hiyo chanjo haifai? Maweee!
Case kubwa hapa ni hizo dawa kuisha mda wake ama madhara yatokanayo na chanjo hiyo??
 
Inaelekea hata makala yenyewe hujaielewa.

Wameziondoa kwasababu zimepitwa na muda na Hawana haja wala resources tena ya kufanya utafiti mwingine kukabiliana na versions nyingine za Covid-19.

Haina maana kwamba wakati huo hazikusaidii. Zilisaidia sana.

Astra zeneca ilikuwa ya chuo kikuu cha Oxford. Walijitolea tu kusaidia na sio eneo Lao la kazi. Mahitaji yamepungua. Wsmewaachia wenye uzoefu zaidi kwenye maeneo hayo.
Zilikuwa ni Chanjo, au majaribio ya Chanjo?

Yaani case zizidi court ndipo kiwanda kiondoe Chanjo soko la Dunia?
 
Katibu wa mbunge,Dr gwajima address KAWE

Punguza u-moron wako ,hizo chanjo ulitaka ziendelee kuwa sokoni ,covid19 bado ipo ukiondoa covid19 ya wabunge wa ndugai bungeni na stonest


Kuweni na shukrani ,huyohuyo mumeo gwajima madarasa yaliyojengwa kawe ,alishukuru akapanda mpaka meza ,mama anaupiga mwingi

Madarasa hayo yanaitwa madara covid19 nchizima ,mpaka namtumbo kunashule zimejengwa zinaitwa samia kisa matokeo ya covid19

Chunga kimezeo ugali hicho kuropoka
 
Salaam,Shalom!!

Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga HOJA Imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,

Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda Cha kuzalisha Chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa Chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au Chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena Kwa matumizi ya binadamu.

Sababu za kuondolewa Chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.

Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na Nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda Kwa Damu Kwa waliochanja Chanjo hizo.

Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.

Asante Mungu kutuletea JPM,

Mungu ambariki Askofu Gwajima,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏

Source: The Telegraph Newspaper UK.
Zinaondolewa kwa sababu zimepitwa na wakati. Hivi sasa kuna variants mpya wa Covid 19 na chanjo zimeboreshwa (updated) kukabiliana nao. Achana na propaganda rahisi rahisi.
 
Nawe ulichanja nn!!

Reasoning ya waliochanja nayo ni utata mtupu!!
Sikuchanja, lakini inabidi tuwe fair katika uwasilishaji wetu. Wakati wa awamu iliyopita karibu kila ilikuwa "mabeberu...mabeberu..." hadi ilikuwa inakera, lakini lengo lilikuwa kumfurahisha maana ndiye nadhani alikuwa mwanzilishi wa hilo neno. Sasa wale wasifiaji bado wapo na hata mleta uzi huu si ajabu naye akawa wa kundi hilo.
 
Mimi nimezika ndugu na Jirani jumla wawili Kwa case ya kuganda Damu sababu ya Chanjo feki ya COVID .

The telegram newspaper UK, limeripoti pale Uingereza pekee, Kuna case zaidi ya 50 court wananchi wanashtaki kampuni hizi za Chanjo fake Kwa vifo na kuganda Damu zitokanazo na Chanjo fake.


Unasemaje hapo?
Mkuu usijibizane nae, acha aendelee kukata mauno kajiandaa kukupinga hata umwambie nini..
 
Salaam, Shalom!

Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,

Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.

Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.

Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.

Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. 🇹🇿

Karibuni🙏

Source: The Telegraph Newspaper UK.

Sasa covid imekufa waendelee kuzalisha za nini? Ingekuwa kiwanda chako ungefanyaje? Uendelee kuzalisha product ambayo haina soko tena?

Ni nzuri kujielimisha kidogo kabla ya kuamini miujiza!

Herd immunity and COVID-19: What you need to know​

Understand what's known about herd immunity and what it means for COVID-19.
By Mayo Clinic Staff

Curious about progress toward herd immunity against coronavirus disease 2019 (COVID-19)? Understand how herd immunity works, its role in ending the COVID-19 pandemic and the challenges involved.


Why is herd immunity important?​


Herd immunity occurs when a large portion of a community (the herd) becomes immune to a disease. The spread of disease from person to person becomes unlikely when herd immunity is achieved. As a result, the whole community becomes protected — not just those who are immune.


Often, a percentage of the population must be capable of getting a disease in order for it to spread. This is called a threshold proportion. If the proportion of the population that is immune to the disease is greater than this threshold, the spread of the disease will decline. This is known as the herd immunity threshold.

What percentage of a community needs to be immune in order to achieve herd immunity? It varies from disease to disease. The more contagious a disease is, the greater the proportion of the population that needs to be immune to the disease to stop its spread. For example, the measles is a highly contagious illness. It's estimated that 94% of the population must be immune to interrupt the chain of transmission.

How is herd immunity achieved?​


Herd immunity can be reached when enough people in the population have recovered from a disease and have developed protective antibodies against future infection. However, experts now believe it'll likely be difficult to achieve herd immunity for COVID-19.


Getting COVID-19 offers some natural protection or immunity from reinfection with the virus that causes COVID-19. It's estimated that getting COVID-19 and COVID-19 vaccination both result in a low risk of another infection with a similar variant for at least six months.

But because reinfection is possible and COVID-19 can cause severe medical complications, it's recommended that people who have already had COVID-19 get a COVID-19 vaccine.

Natural infection​

There are some major problems with relying on community infection to create herd immunity to the virus that causes COVID-19:

  • Reinfection. It's estimated that getting COVID-19 results in a low risk of another infection with a similar variant for at least six months. However, even if you have antibodies, you could get COVID-19 again. Because reinfection can cause severe medical complications, it's recommended that people who have already had COVID-19 get a COVID-19 vaccine.
  • Health impact. Infection with the COVID-19 virus could lead to serious complications and millions of deaths, especially among older people and those who have existing health conditions. The health care system could quickly become overwhelmed.

Vaccines​

Herd immunity also can be reached when enough people have been vaccinated against a disease and have developed protective antibodies against future infection. Unlike the natural infection method, vaccines create immunity without causing illness or resulting complications. Using the concept of herd immunity, vaccines have successfully controlled contagious diseases such as smallpox, polio, diphtheria, rubella and many others.

The COVID-19 vaccines available in the United States are:

  • 2023-2024 Pfizer-BioNTech COVID-19 vaccine, available for people age 6 months and older.
  • 2023-2024 Moderna COVID-19 vaccine, available for people age 6 months and older.
  • 2023-2024 Novavax COVID-19 vaccine, available for people age 12 years and older.
Herd immunity makes it possible to protect the population from a disease, including those who can't be vaccinated, such as newborns or those who have compromised immune systems.

But reaching herd immunity through vaccination against COVID-19 will likely be difficult for many reasons. For example:

  • Vaccine hesitancy. Some people object to getting a COVID-19 vaccine because of religious objections, fears about the possible risks or skepticism about the benefits. If the proportion of vaccinated people in a community is below the herd immunity threshold, a contagious disease could continue to spread.
  • Protection questions. Research suggests that COVID-19 vaccination results in a low risk of infection with the COVID-19 virus for at least six months. However, although COVID-19 vaccines are effective in preventing severe illness from current and possibly future variants, people who are vaccinated and up to date on their vaccines may still get breakthrough infections and spread the virus to others.
  • Uneven vaccine access. The distribution of COVID-19 vaccines has greatly varied among and within countries. If one community achieves a high COVID-19 vaccination rate and surrounding areas don't, outbreaks can occur if the populations mix.

What's the outlook for achieving herd immunity in the U.S.?​


Given the challenges, it's unclear if herd immunity to the virus that causes COVID-19 will be reached. However, the number of fully vaccinated adults continues to rise. In addition, more than 80 million people in the U.S. have had confirmed infections with the COVID-19 virus — though, again, it's not clear how long immunity lasts after infection.


Even if it isn't currently possible to stop the spread of the COVID-19 virus, the COVID-19 vaccine can lower the risk of death or serious illness caused by COVID-19. It lowers your risk and lowers the risk that you may spread it to people around you.
Ref: Herd immunity and COVID-19: What you need to know

Kama utakuwa mtu mzima nafikiri unakumbuka kulikuwa na Chicken pox miaka ya 70 kurudi nyuma, na kulikuwa na chanjo yake, jamii ilipopata herd immunity zilitoka sokoni kbs na sasa hamna tena tetekuwanga zaidi ya moja moja ambazo hazina sababu ya kuzalisha machanjo tena!
 
Wapi kwenye article wamesema hazifai? Chanjo zilikua zaidi ya 10, ngapi zimeondolewa? Unaongea uongo kwa faida ya nani? Kama issue ni madhara hakuna dawa ina madhara kama chemotherapy za kutibu wagonjwa wa kansa ila mbona hazipigwi marufuku? ARV mbona hazipigwi marufuku licha ya side effects zake?

Ukisema chanjo feki means haipo effective which is not true, kama ililinda watu dhidi ya Covid 19 inakuaje feki? Je ingekua feki covid 19 si bado ingekuwepo? Kama issue ni madhara baki kwenye madhara ila effectiveness ya chanjo imeshathibitika kuwa HALISU
 

Attachments

  • IMG-20240516-WA0004.jpg
    IMG-20240516-WA0004.jpg
    55.5 KB · Views: 3
Nitajie dawa moja tu hapa duniani ambayo haina madhara? Moja tu
Ukienda kwa mtazamo huu umepotea ndg! Zote Zina madhara ila zipo tunazoletewa kwa mkakati na kazi maalum kutumaliza! Rejea New world order kutoka kwa wale jamaa,Kuna kipengele cha (DEPOPULATION)
 
Back
Top Bottom