Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Kwamba aliuawa hilo sijui, ninachojua covid19 ilikuwa rahisi kumshambulia mtu mwenye changamoto za kiafya, na JPM ni miongoni mwao ikikumbukwa hiyo mashine aliyofungiwa 1987 japokuwa alijikusanyia maadui wengi kwa aina ya utawala wake,bado hamfikii Mwl.Nyerere ambaye aliwanyang'anya mpaka hao mabeberu mashamba yao, ukiachilia mbali kujihusisha na ukombozi kwenye nchi nyingi za kusini mwa Africa, kwa hiyo kama kuuawa basi angeanza Nyerere lakini kafa akiwa na 77 age tena miaka 14 toka aondoke kwenye urais.
Covid19 imeua ni vile tuliacha kutangaza. Binafsi nimeshuhudia watu wa karibu wengi tu wameondoka.
Covid19 ilikuwa haitaki dharau, ilikuwa ni lazima kufuata masharti ya wataalam, na haikutaka maigizo kama ya kina msukuma na Jafo eti wamepiga picha wanajifukiza.
Kwamba katika East Africa yote tuamini ni Tanzania na Burundi tu ndo waliongozwa na malaika?
Sipingani na wewe kuhusu uwezekano wa kuawa,japo bado naendelea kuamini wapo baadhi ya watanzania walipoteza maisha kwa kiburi cha watawala.
Ulinzi aliokuwa nao JPM sipati picha ya namna ya kumsogelea, halafu na anauguzwa na watu watatu wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama!!!Labda kupitia hao waliokuwa wanamuuzia Mahindi ya kuchoma akiwa kwenye misafara yake.
 
Mkuu inaonekana upo mbali sana na taarifa za nchi hii, hata kilichompata Nyerere hujui!?, uliwahi kujiuliza kujiuliza kwanini waliomzunguka JPM aliowaamini akina Kijazi, Mfugale etc walifuatana!?,Mpaka Mpango nae akakoswakoswa!?, anyway ngoja niishie hapo. Ila msiishi kama mpo Seminary za Roman Catholic na kujifungia, muwe mnapiga story na watu wa kwenye system kujua kinachoendelea nchini mwenu. Jichanganye hata kwenye bar za wakubwa.
 
Hujui uchaguzi ukaribu?
 
Ogopa wajinga kwenye makundi makubwa, wanaweza kumchaguq mjinga mwenzao kuwa kuwa Mfalme.
Umenena vyema, kuwa makini sasa msije kumchagua Mjinga mwenzenu awaongoze.

Mnatakiwa mkubali kuongozwa na mtu mwenye Maarifa na maono aina ya Josephat Gwajima!!
 
TMDA wamejaa wanasiasa watafanya utafiti gani babu!
 
Umenena vyema, kuwa makini sasa msije kumchagua Mjinga mwenzenu awaongoze.

Mnatakiwa mkubali kuongozwa na mtu mwenye Maarifa na maono aina ya Josephat Gwajima!!
Josephat Gwajima ni mzinzi anayeongoza waumini misukule wa kanisa la ufufuo na uzima. Na hao ndiyo wajinga wenyewe ninao waongelea
 
Josephat Gwajima ni mzinzi anayeongoza waumini misukule wa kanisa la ufufuo na uzima. Na hao ndiyo wajinga wenyewe ninao waongelea
Wapi nimesema tunatafuta kiongozi wa Kanisa la ufufuo hapa?

Kwani ukijikita kwenye mada utapungukiwa nini?

Si lazima Kila asomaye ajue u Mjinga ficha basi!!
 
Huyu ni National figure,

Si mbunge wa Dar pekee!!

Hivi Mtanzania maskini, Damu igande, atajinasua vipi?
Tapeli tu sawa na matapeli wengine wanaotumia jina la Mungu kuwaingiza mjini raia. Alidanganya kupeleka watu USA mwaka 2020 leo 2024 hata kuku hajapanda ndege kwenda huko Birmingham, akadanganya kuanzisha vyuo vya uvuvi huku Mbweni baharini mpaka leo hakuna cha chuo wala mjomba wake chuo!.
 
Acha ubabaishaji wewe. TMDA wako kutetea afya za Watanzania, wewe umejikita na tamaa ya fedha tu. Soma hapo wala siyo Tanzania pekee
 
Masuala ya damu kuganda ni ujinga wa whatsapp, kutishana halafu ugonjwa ukija watu waendelee kufa!. Aliyeturoga keshaaga dunia kitambo.
 
Mamilioni ya watu wanadunda mpaka leo damu hazijaganda, Mimi nilichanjwa pia huu ni mwaka wa tatu na damu haijaganda.

Covid haina dawa mnapenda kuona watu wakiteseka bila ya chanjo?. 2021 August nilipata stroke nikalazwa Muhimbili siku tatu ningekuwa sijachanjwa nisingeamka kipindi kile.
 
Mungu ndiye aliyekusaidia Kutoka salama hospitali,

Chanjo Haina msaada wowote mwilini zaidi ya kuleta madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…