Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

Wanaogopa chama kitapasuka; kumbuka huyo Jerry Silaa alikuwa mjumbe wao wa kamati kuu, Pole pole nae alikuwa INSIDER kama mwenezi wao !! Gwajima alikuwa msiri wa JIwe, hivyo hawa wote if mishandled wanaweza kumwaga UGALI wao wakimwaga mboga!!!
Hapao watazunguka sana! Ila nakwambia hanaogopa sana hilo!
 
Gwajiboy ata wa-outlive wanasiasa wa miaka mi5 mi5 yeye ataendelea kuwepo kama Askofu wa kanisa lake hata baada ya utawala uliopo. Wanasiasa na watawala kuweni makini na viongozi wa dini.
Kumbukeni JPM alimleta Gwajiboy CCM ili kum-contain baada ya kuonekana kuwa ni mwiba sana kwa wakati ule, sasa hivi akiamua kurudisha sapoti kwa timu CHANDIMU msije hapa jukwaani kulialia..

My 30 cents.
 

Dawa yao rahisi sana hao kenge. Serikali iwaambie waipelekee hati za viapo kwamba hizo ni mali za makanisa yao. Serikali ikishapata hizo hati za viapo ielekeze ownerships za hizo mali zibadilishwe mara moja kuwa katika majina ya makanisa na mali zisimamiwe na kudhibitiwa na mabaraza ya uongozi wa makanisa yenyewe!
 
Alipoingia mama alitaka kufanya, tukaagizwa tupeleke mapato, matumizi na mukhtasari wa vikao vya mwaka, nashangaa siku ya kuwasilisha pale Nyerere Tower tunaambiwa mpango umesitishwa kwa taasisi za dini...

Sio rahisi zoezi hilo litaibua mengi yaliojificha...
 
Sisi wapiga kura wako wa jimbo la kawe tucomment wapi?

Mbunge wetu tunakumbushia ahadi yako yakuhamishia marekani vipi tunaondoka tarehe ngapi?

kanisa limempa mchungaji wake gari sasa unataka aandike jina la YESU ?
Serikali ikiwapa watumishi wake magari au pikipiki huwa inaandikwaje???
 
Ubunge aliutaka wa nini na kama ni uzuzu kwann ajishushe hadi wanamhoji kama zuzu kweli na asiuachie??
Kuna wakati watu wengine anaingia madarakani kupata nafasi kuwatumikia watu na nchi. Si kwamba hakikoswa hapo hana maisha. Lah asha. Ukishaingia ktk mfumo wowote huna haja ya kiburi. Utafuata taratibu, kanuni na sheria.
Hata Trump alitaka urais ili tu awatumikie waamerica si kufuata fedha. Fedha anayo. Shida wabongo tunadhani ukiingia ktk siasa au ktk mfumo fulani basi ni dhiki unatafuta kitu. Tusikariri watu tunatofautiana.
 
Na we jamaa huwa na hasira sana.
Ni dalili mojawapo Kuu ya Uwendawazimu ( Pyschopath ) unaomnyemelea Mtu pasipo Yeye Kujua / Kujijua.

Nasikitika kwa Kuchelewa Kwako tu Kumgundua Mleta Mada ( Uzi ) hivyo naomba niwe wa Kwanza kukupa Pole Mkuu.
 
Hivi hawa watu wengine huyo Mungu wanayemtaja ni huyu huyu nayemsikiaga mimi au kuna Mungu mwingine wanayemjua wao?[emoji16]
 
Kodi gani kwa taasisi za dini?
Mkuu ile taasisi?? Yaan magari, Viwanja nk yanasoma JOSEPHAT GWAJIMA afu asilipe kodi eti kisa anawakalisha watu pale juani na joto hili la Dar? Ukiambiwa wewe MBUMBUMBU unapaniki.
 
We ukimwangalia gwajiboy alitaka kuwatumikia wananchi? Maana suala la kufukua kwake misukule ni zaidi ya ubunge wa tz...oohhh nimekumbuka alitaka ubunge ili awapeleke wananchi wa jimbo lake ulaya km wanaingia kkoo vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…