Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Kazi sana kuaminisha mtu anayesubiri miujiza ya utajiri kwenye makanisa haya so called "walokole"Mkuu ile taasisi?? Yaan magari, Viwanja nk yanasoma JOSEPHAT GWAJIMA afu asilipe kodi eti kisa anawakalisha watu pale juani na joto hili la Dar? Ukiambiwa wewe MBUMBUMBU unapaniki.