Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia.
Lakini mbona alikuwa akipiga pushup kama hata matatizo yoyote? Mbona alikuwa anasafiri kwa gari umbali mkubwa huku akitumika kama hana matatizo? Kwa nini apotee mbele ya hadhara kwa wiki mbili na kisha mauti imkute?
Mpaka tuhuma za kuwa alipewa sumu au kufanyiwa njama zinazungumzwa bungeni basi tutambue kuwa bisu limegusa mfupa.