Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

Nilikuwa namchukia sana huyu Mzee ...

Nashukuru wamemnyoosha na kuonesha kuwa this is the world ..
 
We fedhuli na baradhuli ndio wa kuombea watu?

..mama samia kasema tufungue ukurasa mpya wa maridhiano.

..wewe unayedhihaki walioumizwa kama Tundu Lissu unakosea sana.

..Kwanini hutaki Watz wenzetu watendewe HAKI?
 
Shetani mkuu si ndio alikiwa anataka raia tuishi Kama shetani? Muuaji, mwizi, fisadi, mtukanaji, mzandiki, mwongo saa hizi anamung'unywa tu Kama pipi
Jamani mbona mnapenda kuchafua watu?
 
..mama samia kasema tufungue ukurasa mpya wa maridhiano.

..wewe unayedhihaki walioumizwa kama Tundu Lissu unakosea sana.

..Kwanini hutaki Watz wenzetu watendewe HAKI?
Upo nje ya mada kabisa.
 
Shetani mkuu si ndio alikiwa anataka raia tuishi Kama shetani? Muuaji, mwizi, fisadi, mtukanaji, mzandiki, mwongo saa hizi anamung'unywa tu Kama pipi
Ila watu mna maneno doooh[emoji847]

Hivi uwaga mnatukana kupata sifa au ujuaji tu?? Aseeeh anyway.
 
Aliingia kwenye ufalme kiajabu ajabu, alitawala kiajabu ajabu, haishangazi kuona ameondoka kiajabu ajabu.
 
Vipi yeye alipewa stahiki zake tofauti na mwenzie Lissu aliyeshambuliwa?

..sifahamu kama mh.nimrod alikuwa akihudumiwa na bunge au la.

..lakini suala la Lissu lilikuwa ni la dharura nashangaa jinsi Magu na Ndugai walivyomsusia.

..sidhani kama angekuwa mbunge wa ccm angetendewa namna ile.

..pia naamini shambulizi dhidi ya Lissu lingetokea wakati wa Mkapa au Kikwete serikali na bunge isingemsusia mgonjwa.
 
Back
Top Bottom