Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

Umenena uweli tupu
 
..walioamuru walinzi wa area D waondolewe ili Lissu auwawe ndio wana roho nzuri sana za kimalaika.

..pia waliomuelekeza Spika asimpatie Lissu mafao yake ya matibabu ni wacha mungu kwelikweli watangazwe kuwa watakatifu.
Yuko wapi mzee nimrod mkono joker the hiker?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…