Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Shetani mkuu si ndio alikiwa anataka raia tuishi Kama shetani? Muuaji, mwizi, fisadi, mtukanaji, mzandiki, mwongo saa hizi anamung'unywa tu Kama pipiNajua una roho mbaya kama baba yako shetani
Achana na mabisu peleka taarifa kwenye mamlaka husika siyo kupigapiga ramli tu.Bisu limegusa fupa.
We fedhuli na baradhuli ndio wa kuombea watu?
He! Hata huyu naye ni mtoto wa Jiwe?Najua una roho mbaya kama baba yako shetani
Ila watu mna maneno doooh[emoji847]Shetani mkuu si ndio alikiwa anataka raia tuishi Kama shetani? Muuaji, mwizi, fisadi, mtukanaji, mzandiki, mwongo saa hizi anamung'unywa tu Kama pipi
Sawa poyoyo!Huna akili we popoyo.
Visiwa vya bahama vinahusika mkuu.Seven days theory.
Resurrection of mwendazake
HahahahahahaaInasemekana ngwaji boy amepewa u bunge ili awafufue mataga wanaokufa. Amfufue mwendazake fasta.
Tuanzea hapo [emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]Kwani jiwe kafaje??
Sio kirahisi kama unavyodhania. Ndio maana maumivu ya bisu yamesikika jana.
Watu mnapigana na Marehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..pia wanasema alilazwa Nairobi Hospital ktk chumba alichowahi kulazwa TL.
Vipi yeye alipewa stahiki zake tofauti na mwenzie Lissu aliyeshambuliwa?..advocate mkono anaugua ugonjwa wa wazee wa usahaulifu. hajiwezi tena mzee wa watu. Tumuombee.
Vipi yeye alipewa stahiki zake tofauti na mwenzie Lissu aliyeshambuliwa?
MacheteBisu a.k.a Beto