Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

Aliingia kwenye ufalme kiajabu ajabu, alitawala kiajabu ajabu, haishangazi kuona ameondoka kiajabu ajabu.
We pimbi unafikiri kwa makalio au kwa mnyeo?
 
Mama asiwatishe watu,waaacha waseme,mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima atilie shaka kufo cha jpm,hvi inakijaje mtu anatwiti kuwa furani ataugua,na akiugua haponi!!!,,serikali isiwafunge watu midomo,iwaache waseme,ninaamini hiki sio kifo cha kawaida,
 
Alikuwa akihudumiwa, na ndio hukusikia jimbo lake likitangazwa liwazi
 
Ni kawaida kwa watu wasio na UTU na wanaoamini sana kwenye Ushirikina.

We angalia tu watu wengi wa namna hiyo huwa wanafariki kiajabu na kwenye mazishi ya watu wa aina hiyi kunagubikwa na mambo mengi yasiyo ya kawaida.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ni suala la muda tu, kila kitu kitajulikana
 
Kunywa sumu umfuate mkaelezane kilichojiri. Mlionywa kuhusu Corona mkaleta masihara ya kupiga nyungu sasa mayowe ya nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…