Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

Wanleta udini na ukabila
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
 
wanaleta udini na ukabila hawana lolote
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Wewe si ndio Biswalo, umesahau ?
 
Ndo kakutuma huyo biswalo umtetee? Watu wamelazimishwa kununua uhuru alafu unaleta ujinga? Watu wamedhulimiwa kibabe, mali za kina biswalo zinaonekana, jeuri, kiburi cha pesa, ni suala la muda tu.
Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653

Biswalo Mganga hana makosa ila akubali iundwe tume huru ya kumchunguza​

Sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso, Ruge hakuwa na cha kupoteza maana umri umekwenda na ameandaa utaratibu mzuri kwa familia hata kama mngemuua kwa kumdhulumu maisha yake. Alikubaki kupigania maisha ya baadae na mali za familia yake.
Wenye umri mdogo hawakupenda kuacha mateso kwa familia wakati wanao muda wa kutafuta tena.
Acha porojo, yaani Mzee avumilie mateso ili mali zake zisalimike na mtu wa umri mdogo ukubali kupoteza mali zako,kweli?
Wale wote walikuwa wapigaji tu,sema kwa sasa timu Msoga imerejea basi wanataka waendelee kutafuna nchi.
 
Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!
Kesi zimefunguliwa akiwemo kabendera, sema ndo hivyo kesi ya nyani unampa ngedere. Alafu ni kudhuLumiwa, sio kudhuRumiwa chief.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Utawala uliopo ndio unamtuma kupitia mgongo wa nyuma, lengo ni kuwadhalilidha viongozi wote waliokuwa wameteuliwa na JPM na wadhamini ni wafanyabiashara......................kuna siku mpira utapungwa kinyumenyume ambapo mtaziona sura halisi ni akina nani wako nyuma ya hao jamaa.................ndio mpaka sasa kila kukicha wanamzushiwa skendo kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ambaye ndiye anawabana ipasavyo viongozi wa michongo na wabadhirifu wa mali za umma.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653

Umedandia kwa juu?. Issue ni hizo fedha zilienda wapi? Fedha zinaonekana ziliingia kwenye akaunti ya mtu binafsi.
 
kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

"Mzigo utaenda serikalini", maana yake nini eti? That is general statement. You have to be specific. "Ulienda serikalini" kwenye Bank Account ipi...???

Maana ukisema "mzigo ulienda serikalini", unasahau kwamba, hata Magufuli na huyu Biswalo ndio waliojifanya wao ndiyo "absolute government"..

Na kwa maana hiyo, wasemao kuwa "mzigo wa Plea Bargaining" ulikwenda kwenye mifuko ya jamaa hawa waliojifanya wao ndiyo serikali kwa hakika wanakuwa HAWAKOSEI...!
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Wewe uliyeshindwa kuichambua vyema sheria hiyo ya P.B na kisha unakimbilia haraka haraka kuwaita wenzio washamba, wewe uitweje sasa...?

Obviously, wewe utakuwa mshamba+++!!
 
Plea bargaining ilianza kabla baadae ndio sheria ikafanyiwa marekebisho ili kuipa uhalali maana waliogopa inaweza kuwarudia.
 
Umepewa hadi kifungu cha sheria. Umeambiwa ni utaratibu upo. Ndio maana kina kabendera wanasema wameminywa p.u.mb.u wanakwepa vipengele vya sheria.

Wanaibuka na hoja ya kulazimishwa. Haya wameambiwa walete ushahidi.

Jibu swali pesa zilienda kwenye akaunti ya Nani?.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653

Hilo kundi haramu la sukuma gang chini ya dhalimu lilifanya mambo mabaya sana ikiwemo kuteka, kuua,na kupora wetu fedha zao. Nakumbuka huu uhayawani ulifanyika hadi kwenye mabureau de change. Kisha wakawa wanatunga sheria mbaya kama enzi za wakoloni ili kuhalalisha unyama wao.
 
Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!

Waishtaki serikali gani?. Ya Samiah au Magufuli? Wao wanaomba msaada kutoka serikali ya Mama Samiah iwasaidie wapate pesa zao na Mali zao. Wewe usikii makonda anadaiwa Range ya watu, kisa ujinga Kama huu.
 
Back
Top Bottom