Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
wanaleta udini na ukabila hawana loloteKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Alichokuwa anakifanya magufuri hakina tofauti na unyang'anyiHuwezi kujua kama wewe ni educationless
Wewe si ndio Biswalo, umesahau ?Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Huyu alikuwa kihelehele maana hakuwa na mamlaka kisheria Kama Biswalo.Sema na Sabaya pia hana makosa!
Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!Ndo kakutuma huyo biswalo umtetee? Watu wamelazimishwa kununua uhuru alafu unaleta ujinga? Watu wamedhulimiwa kibabe, mali za kina biswalo zinaonekana, jeuri, kiburi cha pesa, ni suala la muda tu.
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Acha porojo, yaani Mzee avumilie mateso ili mali zake zisalimike na mtu wa umri mdogo ukubali kupoteza mali zako,kweli?Sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso, Ruge hakuwa na cha kupoteza maana umri umekwenda na ameandaa utaratibu mzuri kwa familia hata kama mngemuua kwa kumdhulumu maisha yake. Alikubaki kupigania maisha ya baadae na mali za familia yake.
Wenye umri mdogo hawakupenda kuacha mateso kwa familia wakati wanao muda wa kutafuta tena.
Kesi zimefunguliwa akiwemo kabendera, sema ndo hivyo kesi ya nyani unampa ngedere. Alafu ni kudhuLumiwa, sio kudhuRumiwa chief.Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!
😂😂Nonsense
Utawala uliopo ndio unamtuma kupitia mgongo wa nyuma, lengo ni kuwadhalilidha viongozi wote waliokuwa wameteuliwa na JPM na wadhamini ni wafanyabiashara......................kuna siku mpira utapungwa kinyumenyume ambapo mtaziona sura halisi ni akina nani wako nyuma ya hao jamaa.................ndio mpaka sasa kila kukicha wanamzushiwa skendo kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ambaye ndiye anawabana ipasavyo viongozi wa michongo na wabadhirifu wa mali za umma.Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Wewe uliyeshindwa kuichambua vyema sheria hiyo ya P.B na kisha unakimbilia haraka haraka kuwaita wenzio washamba, wewe uitweje sasa...?Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Mafisadi yanahaha, team JPM wanakula maisha baada ya kazi iliyotukuka. View attachment 2389727
Umepewa hadi kifungu cha sheria. Umeambiwa ni utaratibu upo. Ndio maana kina kabendera wanasema wameminywa p.u.mb.u wanakwepa vipengele vya sheria.
Wanaibuka na hoja ya kulazimishwa. Haya wameambiwa walete ushahidi.
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Kama walidhurumiwa,kwanini wasifungue kesi kuishitaki serikali kwa kuporwa fedha zao??? kwanini issue ya kisheria inapelekwa kisiasa!!