Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

Utajiri una historia ndugu yangu,matajiri wa Bongo wengi wasanii na wezi na ndiyo maana fedha zao wanaficha nje ya nchi.Kwa mfano JK utajiri alionao kautoa wapi na kwao hawana Historia ya utajiri!!
Fuatilia mahojiano ya Mawaziri wateule wa Kenya na kamati ya uteuzi ya Bunge lao,watu wapo wazi wanataja utajiri wao na walivyoupata,sasa Bongo kiongozi gani atakwambia kwa uwazi utajiri alionao kautoa wapi!
 
Unaishi Tanzania kweli au uko Haiti?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nipo hapahapa kwenye pango la walalahoi,kama umeporwa pesa na DPP,simple unashitaki mahakamani,unaleta ushaihidi,unarejeshewa pesa yako.Ila wanataka kupitia mlango wa nyuma kwasababu hawawezi kutoa ushaihidi mahakamani ila ni rahisi kuonga washauri wa Mama ili walipwe.
Trust me,wengi wanaojiita wafanyabiashara Tanzania ni wapigaji tu.Umeyasikia ya Mama Kibonge?basi hiyo ndiyo michezo yao Mkuu wakishirikiana na wanasiasa.
 
Unaanza kuwa Kinyaa. Sasa, the best option is to get you blocked/ignored so as to save time and MBs!
 
Zito ndio CAG? au zito ndio kamtuma CAG atoe taarifa ya uongo? Unajua ndio maana watanzania akili zetu zinahojiwa!
 
Wewe unajua maana ya neno bargain?.inapofanyika bargain lazima.mwengine atalipa zaidi mwengine kiduchu
 
Awamu ile ya kishetani wala sishangai kusikia pesa zilikua zikienda mifukoni mwa watu maana hata watu walikua wakitekwa wanaibuka viongozi na kusema wataonekana baada ya siku 3 na wanaonekana kweli

Watu wanatekwa wakiachiliwa tunaambiwa wametekwa ni awamu iliyojaa uchafu wa kila aina na ilijidhihirisha kabisa kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na ule mkuu 2020.
 
Nimekuwekea randama hapo ili uone mzigo alioporwa baba yako ulienda wapi.
Usifanye watu wajinga kama wewe ulivyo...

Tunaelewa kuliko unavyoelewa wewe kwa mbali mno...

Na sijui kama unajua hata maana ya "randama" wewe..

The question was very simple but very unlucky that you failed to answer it badala yake ukawaka hasira na kuanza kutapika matusi toka kinywani mwako ukidhani utaonekana una akili sana wakati kumbe...........

By the way, I doubt kama unaielewa hata hiyo sheria ya "Plea Bargaining". Maana kwa kauli ya jumla tu ya kusema "zilienda serikalini", it's evidently that you know nothing about it...!

If you think you clearly know it, prove me wrong kwa kusema tu ni kifungu gani cha sheria hiyo kinasema fedha "zitaenda serikalini?" bila kuwa specific..?

Au hukumbuki kuwa hata kina Biswaro, Makonda, Sabaya Ole Lengai na Magufuli wao ndio walikuwa wakijiita serikali?

So, it's obviously that mchezo ulikuwa ni wa fedha kwenda kwenye mifuko ya serikali zao binafsi...!!

Nyankurungu2020 acha kutumiwa kwa Buku 7. Wewe una thamani kuliko hizo!!!
 
ndo shida ya udandiaji hoja haelewi lolote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Umerukwa akili?

Pesa waliyolipa walioitwa wahujumu uchumi, CAG anasema haikuingia Serikalini wala mahakamani?

Tutajie hiyo Serikali yako ambayo CAG haijui, ambako mliweka hiyo hela.
 
Nyankurungu2020 acha kutumiwa kwa Buku 7. Wewe una thamani kuliko hizo!!!
Huyo Nyankurungu2020 unapoteza muda wako kujibizana naye, heri ujibizane na meza, the man is so thick huwezi kuamini ni specie hii ya viumbe waliojaaliwa akili. Hawa Magufuli aliwapenda kweli kweli kwani kwao alipata vilaza kuliko yeye.


Mwenye tai ni Wankyo, je huyo Nyankurungu2020 hayupo pichani kweli.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…