Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Sawa muheshimiwa sasa je kosa ni la nani la kusababisha Mashine isitengenezwa kwa Miaka 2 ?
Tanesco mikoani ndiyo wamejisahau kabisa umeme unakatika zaidi ya masaa 12 kwa tatizo ambalo Kama wapo serious haiwezi kuchukua masaa mengi kihivyo .
Tanesco muwe na mazoea ya kufanya kazi usiku sio tatizo likitokea usiku unaambiwa wafanyakazi wamelala , musifanye kazi kimazoea.
Tanesco kwani ni nani? Yaani ushindwe kujua agency ya jambo eti unasubiria Taratibu za manunuzi?

Iko hivi,kama jambo ni dharula Kwa nini lisitengenezwe Kwa dharula kama inavyofanyika kwenye Barabara nk?

Upuuzi tuu.
I
 
Ww ffala una chuki 'na viongozi na matajiri waislamu,'na teki ndio wanawapandikiza chuki wapuuzi nyie,
Safari hii waisiharamu mtajuta wakristo au sisi tusio na dini tukichukua nchi tuna hapa waarabu mtawalipa kwa kodi ya kichwa kwa huu upumbavu wa mikataba ya kifisadi
 
Weeeeeeeee sasa Yale mabilioni ambayo kipara ngwidu alikua anapewa na mama yake kwa ajili ya matengenezo yalikua yanakwenda wapi 🤔🤔 walikua wanazima umeme kabisa kizingishio wanafanya matengenezo kumbe walikwapua tena 🤔🤔 lakini cha ajabu hakuna atakae wajibishwa kwa hili
 
Wewe unaamini maeneo aliosema Biteko??
Najaribu kujqdili kilichosemwa na waziri na nia ilikuwa kuonyesha jinsi maneno yake yanavyomuweka kwenye kona kwa kutumia common sense tu.
Swala la kama maneno yake ni kweli au si kweli huo ni ukurasa mwingine kabisa
 
Miaka miwili baada ya Shujaa kufa au mimi ndio sielewi [emoji23][emoji209]
Hii ni ajabu mkuu. Kipindi kile january anesema mitambo haijafanyiwa ukalabati kwa muda mrefu.sasa alikua anakalabati mitambo ipi sijui.
 
Najaribu kujqdili kilichosemwa na waziri na nia ilikuwa kuonyesha jinsi maneno yake yanavyomuweka kwenye kona kwa kutumia common sense tu.
Swala la kama maneno yake ni kweli au si kweli huo ni ukurasa mwingine kabisa
Basi Tuwe watulivu.Time will tell
 
Sawa,nitajie mkristo mwenye utajiri wa haki
Wakristo umeona wanajilimbikizia mali ovyo wakipata uongozi ...wewe jiulize mzee wa msoga akutosheka na pesa anacho chota ikulu hadi akajiunganisha ma wauza ngada wakubwa wa dunia yeye na familia yake
 
huwa tunapiga sana kelele, pamoja na wizi lipo pia hili tunalisahau sana.. "INCOMPETENCE" tuna shida kubwa sana pia eneo hili, watu makini wenye uwezo, umakini na uelewa wa kufanya mambo yatokee...

Gas plants na hydropower stations zinahitaji watu competent wenye uelewa mpana kwenye maeneo hayo na wanaolipwa vizuri ili kuleta ufanisi.
Planning department inapaswa kuwa na watu competent wanaojua nini cha kufanya, wakati gani kuleta ufanisi.
Operation department unahitaji kuwa na watu kweli wenye uwezo na akili ya kazi inayoendana na kasi ya dunia usiku na mchana ili mambo yaende.
Supply chain and procurement unahitaji watu kweli wanaoweza kweli kucoordinate na na walio kwenye operation na gurudumu likatembea kwa kasi.
 
Biteko mwepesi sana.wamempa kazi sio levo yake. Bora wangelipa hili uaji makonda.akipita huko wiki tu.umeme utawaka. Biteko levo yake uDC tu.
Wizara nyeti unampa mtu mlaini laini kama tambi.
 
Kwani yule akiesema kipindi cha awamu ile iliyopita walikuwa hawafanyi ukarabati wa mitambo akaomba Trilion 11 ili amalize tatizo la umeme imekuwaje uo mtambo auche miaka 2 haufanyi kazi?
 
Wakristo umeona wanajilimbikizia mali ovyo wakipata uongozi ...wewe jiulize mzee wa msoga akutosheka na pesa anacho chota ikulu hadi akajiunganisha ma wauza ngada wakubwa wa dunia yeye na familia yake
We nenda kaombe utajiri kwa matapeli wenu wa kidini
 
Matumizu ya umeme yamekuwa sana na hatuna vyanzo vipya vya kuzalisha umeme zaidi ya alivyobuni Kikwete vya Gas.

Umeme siyo kuzalisha tu, kuna kuusafirisha na kuusambaza. Ni mfumo kamili.

Huwezi kuongeza watumiaji mifumo mingine ikabaki vilevile.

Ndiyo maana duniani sasa hivi wanaondokana na mfumo wa kufuwa umeme mwingi sehemu moja na kuusambaza.

Nje huko imefikia kila jengo kujizalishia umeme na unaozidi ndiyo unakwenda kwenye gridi.
Wakati wakikwete sindiyo umeme ulikuwa mgao kila siku mbona JPM alipo ingia tu ikulu ilichukua siku 80 tu tatizo la umeme na mgao kupotea kabisa ...tujibu wewe tumbili wa kiisiharamu
 
We nenda kaombe utajiri kwa matapeli wenu wa kidini
Mimi siyo mkristo.ila ukweli usemwe ....sijui kanisa ni nini maishani mwangu ila naujua ukristo kuliko mtu yoyote na naujua uislamu kuliko mtu yoyote...ndiyo maana nina akili timamu .....na ningekuwa kiongozi ningepiga marufuku nyumba za ibada kutumika zaidi ya mara moja kwa week kama ilivyo andikwa kwenye vitabu waislamu ni ijumaa na wakristo ni siku moja tu kati ya 7 Mungu anawaambia siku 6 wafanye kazi ila ya saba ni ya bwana .....chakushangaza leo watu wanakesha makanisani usiku na mchana
 
Safari hii waisiharamu mtajuta wakristo au sisi tusio na dini tukichukua nchi tuna hapa waarabu mtawalipa kwa kodi ya kichwa kwa huu upumbavu wa mikataba ya kifisadi
Wagalatia msahau kupewa nchi tena.iyo ni habari ya siri nakufunulia, labda watapewa madaraka wasabato,labda
 
Wakati wakikwete sindiyo umeme ulikuwa mgao kila siku mbona JPM alipo ingia tu ikulu ilichukua siku 80 tu tatizo la umeme na mgao kupotea kabisa ...tujibu wewe tumbili wa kiisiharamu
Nenda kamfufue huyo shetani wako
 
Back
Top Bottom