"Hata hivyo uzinduzi rasmi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko
Mingine 7,6,5,4,3,2,1 lini
 
Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya wanasema muda huu,wako GIZANI!
 
CHADEMA itakosa ya kuongelea majukwaani.

Watabakia na matusi na kejeli kama sera yao na kawaida yao.

Maono ya Hayat Rais J.P Magufuli....ni matamanio ya Wananchi wengi.
 
Walisema tatizo sio umeme ni miundombinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…