January makamba alipinga mradi huu? Anazo taarifa kuwa mitambo imeanza kuwashwa?
 
Bwawa lilipochelewa mlisema January anahujumu na Samia amefeli..... ila likikamilika ndio sifa kwa JPM!! Acheni unafiki nyie CCM kama mmefeli basi mmefeli sio tena akifeli mnamruka akifanikiwa mnajiungamanisha.
Sifa kwa wote JPM na Samia! Ila bado haiondoi uhalisia kuwa JPM ndo Kinara wa hilo!
 
Hawa jamaa sijui wanatumia akili gani kuelewa jambo, imewashwa nambari 9, mwezi machi imewashwa namba 8, June inawashwa namba 7, ni hivyo mpaka namba MOJA, Kukamilisha MW2115.
 
Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
Kwenye vitabu vya dini kuna kahaba aliwai kupata ufalme alifanya ushenzi mwingi ni kwenye biblia
 
nim kwamba we ni mjinga tangia kuzaliwa hakuna wa kukufanya uwe mjinga
Sawa mwerevu, ila mimi nimechagua kukaa kimya. Ukipata muda tafakari hili swali, kati ya Dotto Biteko na Jakaya Kikwete nani ni Senior?
 
Kuna bwana mkubwa mmoja aliwahi kusema, katika maisha ya leo, ogopa sana Mungu(kwa waamini) na Teknolojia
 
Tuwe watulivu wakati serekali yetu pendwa chini ya mh. Rais wetu mpendwa ikiendelea kumaliza kero zote za watanzania ili mpate raha huko tuendako tafadhali tunaomba Utulivu msiumie sana mkipenda mwaweza kujiunga na mfumo tukasonga sote,---- "If you can't competate just join him" - - - -
CCM, chama kubwaaaa sana.
 
Japokuwa Spika Dr Tulia amesema kuwaandamanisha Watu kilimita 16 kwa Miguu ni kuwachosha bila sababu mimi Naamini Naibu Waziri mkuu baada ya kukutana na yale Maandamano Roho Mtakatifu wa Mungu alimpa Hekima yake

Wote tunajua bungeni Wizara ya Nishati ilipewa hadi June kumaliza Mgao lakini ghafla Mgao umeisha

Tuyakatae Maandamano ya Shari yenye kuleta vurugu lakini haya ya amani yanamsaidia hata Rais wa JMT kupata Taarifa ambazo Wasaidizi wake wangependa asizijue tuyaunge mkono

Mimpongeze mbunge wa Arusha Mjini kwa kuyakaribisha Maandamano ya Chadema jimboni kwake kwani yatamsaidia hata yeye Wapiga kura wake wapate Sugar

Siasa ni Sayansi 😂
 
Sio kweli!! Zilikuwa plan za wizara.Hoja yako itakuwa ya msingi kama tumeamua kuongea siasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…