Ila Bukoba, Missenyi na maeneo mengine ya huko hawajawahi kuona mgao wa umeme, Tanesco wazenguaji sana kwenye maeneo mengine
Grid ya bukoba na environs sio same na ya nchi nzima mko indepedent. Kuna ile solar plant kubwa ilijengwa 2 years ago ina supplement grid power hence hawakatiwi umeme
 
Mgao wa umeme kwa mkoa wa Dar Es Salaam umeisha zitabaki dharula tu ambazo zinatokana na miundombinu chakavu mara kunguru kakanyaga waya upepo mafundi wanaenda kurekebisha na transfoma nguzo zimekuwa chakavu
 
Ukweli lazima usemwe.

Huu mradi aliyekomaa na mpaka sasa unakamilika ni hayati JPM. Jembe la Africa na mwanamapinduzi...
πŸ‘‰πŸŒˆ una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
 
..Vipi kuhusu maumivu na hasara ya kukosa umeme miaka na miaka?

..Je, Ccm ina mpango wowote wa kuwaomba radhi Watanzania?

..MKOPO watalipa Ccm peke yao au utalipwa na Watanzania wote?

..Mwisho, umeme utashuka bei?
 
πŸ‘‰πŸŒˆ una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
Pimbi mburula
 
πŸ‘‰πŸŒˆ una vituko vya hatari, umepewa nafasi ya kuigiza kama cdm lakini unajimix vibaya. Kwamba unajiondoa cdm, lakini hapo hapo unawataka waipongeze ccm? Kwanini usiwapongeze na wanaccm wenzio?
hilo nalo limewachomaee πŸ’

ama kweli, Ukweli mchungu πŸ’
 
Nye Nye Nye
Mbona juzi juzi tu tuliambiwa kuwa serikali haiwezi kusema lini tatizo la umeme litaisha?
 
CDM na ndrugu zao,
wakigoma kuwapongeza CCM kwa kukamilika kwa mradi mkubwa sana wa JNHPP.

Wananchi wa Tanzania kwa umoja na mshikamano wao,
wataipongeza CCM kwa hilo na mengine mengi kwenye sanduku la kura mapema mwishoni mwa 2024 Lakini pia Oct 2025πŸ’
 
Hapo ni kupigwa danadana tu mpk kifo.
Hadithi njoo utamu kolea
 
We phalla ni mdudu wa kijani 200%
 
Mradi bado haujakamilika wewe. Acha kupotosha. Wakamilishe kama ilivyo Tara jiwe then wapongezwe.

Halafu, wao wanampongeza Maza kwa kila jambo, kwa nini unataka wengine wakipongeze Chama.
 
Wanauchelewesha mradi kwa makusudi ili wautumie kama silaha ya uchaguzi. Washeni umeme watanzania tutawapima kwa vingine vingi ambavyo mmekuwa mnachelewesha kwa makusudi kqma mtaji wa kisiasa badala ya kuwapa wananchi hudumu wanayolipia kwa kodi zao.
 
Chadema na wahuni wa ccm si mlimpinga jpm kwenye hii miradi vipi tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…