Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
Kwani wamekaa meza moja kula tende?Kwa hiyo Israel wameamua kukaa meza moja na Magaidi Hamas?
Sawa vita unasema vimeisha sasa makubaliano ya nini?
Unatumia fikra zako, Israel kakubali masharti yote ya Hamas mpaka mawaziri wake wanatushia kujiuzuru wewe unaleta porojo unajua Trump alituma mtu kwenye hayo makubaliano?
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1879594386805457152?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Dogo una utoto mwingi sanaHii ndo Gaza ya leo. Huu ndo upande ulioshinda vita eti๐คฃ.
View attachment 3203097
Akili za Hamas na washabiki wao zinalingana.
Hamas hawakuwa na akili ya kutambua kuwa hawawezi tifu na Israel.
Leo wamefikia makubaliano ya kusitisha vita, mashabiki wao wana claim ushindi ๐คฃ.
Talk about being delusional.
Yo, wale Hizbollah waliolipuliwa mapuumbu wanaendeleaje?Mbona umemshahu Bikira Maria ni muhimu sana kwa vibikra 72๐
Wewe unadhani utaishi maisha yako hapa duniani bila kufa ๐คฃ Kufa utakufa tu lakini kuna tofouti ufe kishujaa au ufe kifala fala kama wewe unadhani kufa unalewa ndio umekufa uta enjoy kaburini basi sawa au unakufa una kula chps ndio hutaweza kuoza ukiwa kaburini.Kufa kijinga ni ufala.
Wasingelianzisha hiyo Oct. 7 si ajabu leo hii wangekuwepo.
Ila kwa vile ni ma zuzu, sasa hivi wanaoza na kugeuka funza huko waliko.
Natamani waliobaki walianzishe tena ๐คฃ.
Hamas wamekoma. Hawatorudia tena. Unabisha?Dogo una utoto mwingi sana
Punguza utoto maana unaandika vitu vya kipuuzi na kujichekesha chekesha kama mjinga.Hamas wamekoma. Hawatorudia tena. Unabisha?
Sawa, sote tutakufa.Wewe unadhani utaishi maisha yako hapa duniani bila kufa ๐คฃ Kufa utakufa tu lakini kuna tofouti ufe kishujaa au ufe kifala fala kama wewe unadhani kufa unalewa ndio umekufa una enjoy kaburini.
Umeelezea vizuri,wamekurlrwa,watajifanya hawajakuelewa.Nenda kapime akili zako wewe kama unamini ceasefire sababu ya Trump. Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.
Hamasi ni wanaume lazima tukubali ukweli, pia Yemen. Na bila kuwasahau Hezbullah
Hamas watarudia tena?Punguza utoto maana unaandika vitu vya kipuuzi na kujichekesha chekesha kama mjinga.
Wewe akili zako zimepinda ndio unadhani kufa unajipangia wewe utakavyo ๐Sawa, sote tutakufa.
Ila sitokufa kifo cha kipumbavu na cha kujitakia kama hao Hamas.
Muisrael mweusi wa Ngudu anasema vita vimeisha Gaza ๐๐
Waisrael wengi wamekufa,na wanajeshi,wa vyeo vya juu kabisa,ndio ukzona Israel,kakubali vitz iishe,ni aibu kubwa,jeshi la Taifa,kupigana na wanamgambo,na kushindwa,kuwamaliza.Sawa, sote tutakufa.
Ila sitokufa kifo cha kipumbavu na cha kujitakia kama hao Hamas.
RubbishNadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.
Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.
Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.
Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.
Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.
Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.
Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.
Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.
Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel
Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.
Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.
Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.
Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
We kwa nini hukwenda kuwasaidia Hamas?Muisrael mweusi wa Ngudu anasema vita vimeisha Gaza ๐๐
Pumbu kanyofolewa basha wako Netanyahu kwa kanza๐
Wewe mkolokole hujui lolote.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1879577929048592761?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huu ndio ukweliMuisrael mweusi wa Ngudu anasema vita vimeisha Gaza ๐๐
Pumbu kanyofolewa basha wako Netanyahu kwa kanza๐
Wewe mkolokole hujui lolote.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1879577929048592761?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wewe kwa kwa nini hukwenda kuwasaidia mabasha zako Israel?We kwa nini hukwenda kuwasaidia Hamas?
Ni aibu jeshi la Taifa,-kupigzna na wanamgambo,na Taifa kusalimu amri,kwa wanamgambo wa Hamas,na kufanya makubaliano na waliowaita magaidi.We kwa nini hukwenda kuwasaidia Hamas?
Taifa lenye jeshi kubwa,lasalimu amri kwa wanamgambo,waliowaita magaidi.Ni aibu kubwa.Uzi wa maustadhi huu et Hamas kashinda labda njaa
Aibu kubwa,kushindwa na wana mgambo.โ Wafungwa 30 wa Kipalestina wataachiliwa kwa kila mateka 1 wa Israel
โ Wafungwa 50 wa Kipalestina wataachiliwa HURU kwa kila mwanajeshi 1 wa kike wa Israel
โ Israel itajiondoa kabisa Gaza
Hahahaa eti Biti la Trump๐