Acha upumbavu, Hakuna mahali Hamas wamemuhofia Trump wala nani, makubaliano waliyoafikia zaidi waliotaka na kushadidia ni Biden mwenyewe baada yakumlazimisha baradhuli mwenzao netanyahu lazima wafikie makubaliano na Hamas kabla ya yeye kuondoka madarakani ili isije ikaonekana utawala wa Biden ulishindwa kusimamisha vita Middle East, na ipo kisiasa zaidi, Sharti kubwa la Hamas ambalo huko nyuma hakukua na maelewano ni Israel aondoe majeshi yake Gaza na Wapaletina warudi kwenye ardhi yao, netanyahu alikuwa hataki sasa amekubali kwa idhini ya bwana wake Biden. Usituletee porojo lako kichwani hapa.