Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walikuwa wanaelewa hilo kwamba ni risk kwenda kupambana kukomboa mateka, kwanini waliingia Gaza kuishambulia ardhini na angani? kulikuwa na sababu zipi hasa kuingia kijeshi?Utawakomboaje mateka waliozingirwa na adui yako?
Mbona mnarahisisha tu mambo namna hiyo.
Siyo rahisi kuwakomboa mateka halafu ufanikiwe kuwakomboa wakiwa hai.
Haya, soma hii.
![]()
We know where most of the Hamas hostages are, say Israeli officials - The Jewish Chronicle
Hamas has provided signs of life for some hostages, the officials addedwww.thejc.com
Umeamka toka usingizini mzee? Uwe unakumbuka kwamba endapo Israel wangepambana bila kujali sheria za umoja wa mataifa hali ingekuwa mbaya Sana gaza.Nadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.
Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.
Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.
Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.
Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.
Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.
Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.
Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.
Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel
Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.
Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.
Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.
Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
Ni kweli kabisa Israel imepambana kwa kufuata sheria za kimataifa ndio maana ICC inamtafuta Netanyahu ili impe zawadi.Umeamka toka usingizini mzee? Uwe unakumbuka kwamba endapo Israel wangepambana bila kujali sheria za umoja wa mataifa hali ingekuwa mbaya Sana gaza
Labda kwa hilo sasa ndio wataelewa kwanini Mugawama (wanamapambano)hawafi moyo na daima huishi kwa matumaini.Usitumie maneno yako. Alisema hivi "kama mateka hawatowachiwa, basi gaza patawaka moto" hakusema patachimbika.
Sasa moto umewaka wapi? Gaza au California 😁.
Gharama za kuirudisha Gaza kwenye ubora wake ni takriban usd 70b. Hasara ya moto wa marekani mpaka sasa imefikia usd 275b na bado moto unaendelea kuwaka.
Nimejieleza vizuli kuwa Israel kwasasa awezi kuzuiya viuma missile kutoka IRAN au YEMEN kifupi Israel yupo nyuma kitechnology ndio mana unaona pale YEMEN Israel anaogopa kuuwa raia anajua myemen nae anaweza kulenga raia wa Israel wakashindwa kuzuiya shambulizi na carpet bomb ivyoivyo akipiga nayeye atapigwa. Na ichoicho!!! Kwaiyo sio uruma kutokupiga carpet bomb bari ni kuogopa majibu yake!!!!Huwezi kujieleza vizuri ukaeleweka?
Maana kwa Sasa kidigitali mtu kupata ushindi hatuangalii uharibifu na vifo Bali tunaangalia huruma za watu wanaoangalia pambanoNi kweli kabisa Israel imepambana kwa kufuata sheria za kimataifa ndio maana ICC inamtafuta Netanyahu ili impe zawadi.
Wanaodai Hamas imeshinda ni hao Wapalestina wa Tabata Sanene na Kiuruwi 🤣.Kusema kuwa Hamas wameshinda, ili Israel iendeleze Vita ni ku-support Genocide.
Kuna Lipi limebakia pale, Israel imemaliza majengo sa hivi watu wanaoipuliwa kwenye mahema. Viongozi wa kubwa wa HAMAS wameuliwa.
Na sidhani kama vita imeisha
Nonsense.Nadhani tungetizama malengo ya kila mmoja halafu tutapata picha which is which.
Kampeni ya Israel ilikuwa na malengo makuu manne : kuitokomeza Hamas, kuwaachilia mateka, kuhakikisha Gaza haileti tishio tena kwa Israeli, na kuwarudisha wakaazi waliokimbia makazi yao Kaskazini mwa Israeli.
Israel imeshindwa kufikia malengo yake makuu, kama vile Marekani ilivyoshindwa huko Afghanistan na Vietnam.
Watu wanapaswa kuelewa: Kwa serikali kushinda dhidi ya wanamgambo kama Hamas au Hezbollah, nguvu haitoshi; unapaswa kushinda mioyo ya watu. Inabidi utoe mbadala bora kuliko hali ilivyo--katika kesi hii, Hamas. Inahitaji suluhisho la kisiasa, suluhisho la kiitikadi, sio la kijeshi. Lakini Israeli hawakushinda mioyo ya watu, kinyume chake kabisa. Israel na Marekani zilishindwa kuwaondoa kabisa kutoka Gaza--lengo lao kuu.
Hata Blinken juzi alisema Hamas imeongeza wapiganaji wengi zaidi hivi sasa kuliko walivyokuwa kabla ya vita.
Na vipi kuhusu mateka? Kuwaachilia mateka iliipaswa kuwa kipaumbele cha kwanza lakini Sio tu kwamba makumi yao bado wako mikononi mwa Hamas, lakini baadhi yao waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israeli.
Badala ya kutokomeza Hamas, Israel imejifanya kuonekana kama taifa la kihuni, na Hamas wametoka katika hali hii wakionekana kama "watetezi" wa upinzani wa Palestina.
Sisemi Hamas hawana lawama, La hasha. Lakini jibu la maelfu ya mabomu hayakuitokomeza Hamas; iliimarisha masimulizi yao. Kila bomu lililoua raia, kila mtoto aliyetolewa kutoka kwenye vifusi, kila familia iliyokata tamaa iliyoachwa bila chakula au maji-yote hayo yalivhochea mashine ya propaganda ya Hamas.
Kijiografia, sifa ya Israeli imeharibika, limebakia sasa kama taifa pariah.Nchi nyingi (kama Uhispania, Ireland, Norway..nk) zimelitambua rasmi taifa la Palestina na hata kujiunga na kesi ya afrika kusini dhidi ya israel
Sifa ya Israel Kimataifa imechafuka. Viongozi wake wanatafutwa rasmi kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Wanajeshi wa IDF wamesimamishwa kote ulimwenguni. Kuna kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na taswira yake imeharibiwa vibaya.
Kwa upande wa Palestina, ni wazi.. Gaza imeharibiwa. Zaidi ya 100k waliuawa na bado hakuna taifa la Palestina. Bado wanaishi bila utaifa chini ya vizuizi vya Israeli.
Hamas Walipata kabisa walichotaka. Walitaka kusalia madarakani, kurudisha sababu ya Palestina kuwa nchi huru, kuizuia mpango wa normalization wa Israel na Saudia na kusaidia wafungwa wa kipalestina kutoka jela.
Vita hivi vinaendea kwisha, lakini cha kusikitisha ni kwamba tatizo la Waisraeli na Wapalestina bado halijaisha. Mzozo utaendelea kwa miaka ijayo.
You're speaking from terrorist point of view that reflects shallow thinking.Nenda kapime akili zako wewe kama unamini ceasefire sababu ya Trump. Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.
Hamasi ni wanaume lazima tukubali ukweli, pia Yemen. Na bila kuwasahau Hezbullah
Kwa hiyo Hamas kashinda vita?
Pea-sized brains on steroids.
Kabla ya hiyo tarehe, moto umewaka Marekani! Inasikitisha!!!Usitumie maneno yako. Alisema hivi "kama mateka hawatowachiwa, basi gaza patawaka moto" hakusema patachimbika.
Sasa moto umewaka wapi? Gaza au California 😁.
Gharama za kuirudisha Gaza kwenye ubora wake ni takriban usd 70b. Hasara ya moto wa marekani mpaka sasa imefikia usd 275b na bado moto unaendelea kuwaka.
Hamas hana uwezo wa kuprotect Wa Palestina kwa muktadha huu ndio Hamas ameshindwa, sababu Hamas ni both Political Party na wanajeshi.Kusema kuwa Hamas wameshinda, ili Israel iendeleze Vita ni ku-support Genocide.
Kuna Lipi limebakia pale, Israel imemaliza majengo sa hivi watu wanaoipuliwa kwenye mahema. Viongozi wa kubwa wa HAMAS wameuliwa.
Na sidhani kama vita imeisha
I deal with so called educated people all the time, who have some of the dumbest opinions and feelings I have ever heard spoken. The only thing you can do is let them be who they are going to be and try to not let them bother you.You're speaking from terrorist point of view that reflects shallow thinking.
Your views are always centered on senseless religious bigotry than reasoning and that's why only few radicalized people will pay attention to you.I deal with so called educated people all the time, who have some of the dumbest opinions and feelings I have ever heard spoken. The only thing you can do is let them be who they are going to be and try to not let them bother you.
Today lesson; Terrorism, in its broadest sense, is the use of violence against non-combatants to achieve political or ideological aim.
Tatizo wehujui kizungu huwa sijui unahifadhi sentence mtu akiongea. Point yangu inahusika vipi na ulicho ongea 🤣
Ukiwa unatetea haki yao kamwe huwezi choka jamaa wamekuwa wavumilivu sanaNenda kapime akili zako wewe kama unamini ceasefire sababu ya Trump. Kipigo cha Hamasi, pia kutoka Yemen pomoja na Hezbullah kabla ya kusimamisha vita ya Lebanon ndio kumeifanya Israel iwe haina nguvu, na US kasaidia mpaa kachoka hawajaweza kuwashinda Hamasi.
Hamasi ni wanaume lazima tukubali ukweli, pia Yemen. Na bila kuwasahau Hezbullah