Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Hamas wamekoma. Hawatorudia tena. Unabisha?
Ndo mwanzao wa taifa lao .. sio kwamba wanapigana hovyo . israeli amesaidiwa na usa pekee trillinon 75 sawa na dollar 30b achilia mbali australia canada na uingereza . Mpaka sasa reputation ya israel imeshaaharibika na dunia imefunguliwa macho kuhusu zionist imperialism jinsi walivyo mashaten . Hii itapelekea baadhi ya nchi kuchukua hatua mapema na kuzuia zionist imperilsim isitawale siasa zao .demage walioipata usa uingerza ni kubwa sana hamna taisfa litakalowaamini
 
Wangekuwa wanajua walipo asingefika huko acha kujitoa ufahama . Wangeangamizwa mara ili hamasi wasipate cha kubagain
w
 
Hii vita kwa usa umekuwa ziadi ya liability itapelekea hata kuwe na mgawanyiko ndani ya usa huko mbele watu wanadukuduku wamelibeba moyo kodi zao zinaplekwa israeli kuua watoto na hata wa marekan wenyewe
 
Ww mwembe togwa unajua raia wa palestina hawaipendi hamasi hongera kwa hilo
 
Ndio point ya msingi walikuwa wanataka kuleta porojo za entebe ili waache history ila kwa hapa tulipofika jeshi la isreali ni la kawaida kbisa na dunia nzima imeshaajionea ni jeshi dhaifu .. mno nje ya usa hamna nchi itakayopeleka jeshi lake israle kwa mafunzo kaam ilivyokuwa zamani
 
Ww mwembe togwa unajua raia wa palestina hawaipendi hamasi hongera kwa hilo
Mkuu, dunia imekuwa kama ni kijiji i.e. hakuna kilichofichika. Ukitaka habari yoyote unaipata bila shida.
 
Kwa taarifa yako tu gaza itajengwa haraka sana kwa mabilioni ya dola ya waarabu, Israel walikuwa hawataki makubaliano ya kusitisha vita kwakuwa Hamas na Houth wangeonekana washindi kwakuwa pesa kwa mwarabu kuijenga gaza sio tatizo, Waarabu wana pesa sana wamejaza kwenye mabank Ulaya magharibi sema akili hawana
 
Yani Una amini Watu Wagaza walichofanya ni Sahihi October 7 Na Vip Matokeo Yake Kilichotokea kwa Wana wananchi na Raia wa kawaida Ambao walikuwa wanaendesha maisha yao ya kawaida na Biashara zao na Familia zao
 
Alieufyata hapa ni Israel maana Netanyahu alisema hatasitisha vita mpaka awamalize Hamas huko Gaza. Hamas Bado wapo na Leo katangaza kusimamisha vita na kubadilishana mateka
 
Kakwambia nani??? Washindwe kuwasaidia wakati wa vita kabla hata mambo hayajaharibika waje sasa hivi papo kama jangwani ?? Kweli ukiwa wa mudi unakuwa taahira hata kama uko sawa kichwani
 
US na mataifa ya magharibi waliwekeza fortune kumchapa Talibani. Leo wana kipi cha kuonyesha? Taliban hajabadili misimano yake hata inchi moja!
Taliban kuna namna wamebadilika sana mkuu.

Kuna yale mambo ya kuhifadhi na kufadhili magaidi kama walivyokuwa wanafanya akina Mullah kwa Osama na al-Qaeda yake.

Baada ya kipondo kitakatifu wamekoma, hawafanyi tena huo ujinga, wamegundua hiyo ni biashara kichaa.

Mambo ya kupigwa na B-52 bombers yasikie tu kwa mwingine bro
 
Your views are always centered on senseless religious bigotry than reasoning and that's why only few radicalized people will pay attention to you.
Religion can be a source of comfort and guidance, because we need to know what pleases God and what angers Him.
 
Hamas na Hezbollah kwani bado wapo? Maana Netanyahu amefanya mauaji ya kutisha
 
Anaye kuambia hawapo labda awe ni shoga, wanaume huwa hawaishi.

Kuna maneno mtu akionge unajua ni muflisi.

Hamas na Hezbollah wamesambaratishwa.

Na wanaoamini Donald Trump ndio suluhisho, nao pia wamesambaratishwa.

Sisi wenyee...tusiotegemea mambo ya wanadamu, ukweli utatuweka huru
 
Kuna maneno mtu akionge unajua ni muflisi.

Hamas na Hezbollah wamesambaratishwa.

Na wanaoamini Donald Trump ndio suluhisho, nao pia wamesambaratishwa.

Sisi wenyee...tusiotegemea mambo ya wanadamu, ukweli utatuweka huru
Kumbe wewe ni muflisi 🤣
 
Kuna maneno mtu akionge unajua ni muflisi.

Hamas na Hezbollah wamesambaratishwa.

Na wanaoamini Donald Trump ndio suluhisho, nao pia wamesambaratishwa.

Sisi wenyee...tusiotegemea mambo ya wanadamu, ukweli utatuweka huru

Kumbe wewe ni muflisi 🤣


Nyinyi mnaojidai ndio waislamu kuliko waislamu wengine wote.

Mna copy and paste mambo ya wayahudi halafu mnajidanganya mmeshinda.

Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi yako mwenyewe.

Ottoman Empire was the last, big Islamic empire. Wengine wote twende tukakojoe tulale
 
US na mataifa ya magharibi waliwekeza fortune kumchapa Talibani. Leo wana kipi cha kuonyesha? Taliban hajabadili misimano yake hata inchi moja!
Wazungu wanaamini katika 'bombing hard'. 'Wali-bombiana' kwenye WW1 na WW2 wakalegezana. Wakaona utamu wake. Waka-bomb Vietnam, Iraq, Afghanistan, Libya na sasa Gaza. Haijulikani nani atafuata kuwa bombed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…