Black Lives Matter: Images from around the world

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Friends...this one has a different feel to it.

There’s something about it that makes it very different from events of the past.

Demonstrations from Kosovo to Tunisia to Bulgaria.

From Seoul to Tokyo.

Wow! Just wow!

I hope it will be that watershed moment in the quest for social justice and equal human rights.

I’ll keep my fingers crossed and my eyes wide open that it is that moment!

 
Hizi propaganda bana, eti hadi Cosovo na Bulgaria
So US ambayo Imewahi kuwa na black president, black secretary of state, black governors, Mayors, Senators, Senior Police officers etc etc imekuwa racist kuliko hata Cosovo na Bulgaria?
 
Hizi propaganda bana, eti hadi Cosovo na Tunisia
So US ambayo Imewahi kuwa na black president, black secretary of state, black governors, Mayors, Senators, Senior Police officers etc etc imekuwa racist kuliko hata Tunisia na Cosovo?
Propaganda kivipi? Kwamba huko Kosovo hakuna walioandamana kuunga mkono kampeni ya Black Lives Matter?
 
Mbona Tz hatuandamani? 🤣🤣😂😂🤣😆😆😆
 
Watu weusi wanatumiwa tu kwenye maugomvi ya ideologies ya Muzungu, hakuna Muzungu anayejali maisha ya Black Amerikan huko USA, hiyo ni politics perse, left vs right, blacks wanatumiwa tu kama mbuzi wa kafara, BTW mwanzilishi wa BLM ni Muzungu na iko funded na evil Jew George Soros kupitia Open Society, ...

Huyo ndiyo sponsor wa BLM

 
Propaganda kivipi? Kwamba huko Kosovo hakuna walioandamana kuunga mkono kampeni ya Black Lives Matter?
Cosovo Kuna ethnic and racial discrimination kuliko US, wanabagua hadi wazungu wenzao, Serbs, Bosniaks, Turks
Halafu wanaenda kuandamana ofisi za ubalozi wa US kupinga maandamano
Cosovo, Tunisia, Bulgaria
 
naweza kukubaliana na wewe, haya maandamano na wanayoyaunga mkono Wana agenda zao nyingine Japo baadhi Ni genuine
 
Aisee!..hii inaonyesha Marekani 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 taifa kubwa, hili tukio limegusa kila pembe.

Marekani ikipiga chafya dunia nzima inapata mafua.
 
Jamaa wametisha sana, hongera kwao.

Ila hii kitu ukichimbua kwa undani zaidi unaweza sema ni kitu ilipangwa ili kizima ishu ya Corona. Eti hadi hapa Kenya wanaandamana aisee
Kwann wasiandamane wanavyouliwa na polisi
 
Aisee!..hii inaonyesha Marekani 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 taifa kubwa, hili tukio limegusa kila pembe.

Marekani ikipiga chafya dunia nzima inapata mafua.
Halafu kuna wakuja wanaimba eti mabeberu Hali hata uwezo wa kuwalipa wastaafu tu shida.
 
[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app


In this case it should be; all lives matter, whether be it black, yellow, white, blue etc.

By the Slogan; " black lives matter"- it implies the rest lives do not matter and this notion ushers in new form of racism making the black superior over the rest colours.

That is my take.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…