Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Hata viongozi wa nchi wakubwa huko nimeona wakisapoti #blacklivesmatter . Sisi wabuza huku Mungu ndio anayejua tunachokifanya.wameachwa waandamane kwa sababu ni haki yao kuandamana. na sio wote wanaoandamana,pia wapo weupe wengi wasiounga mkono hayo maandamano
Wapo weusi wengi wa Marekani wanaoona haya maandamano hayana hoja ya msingi,
Sio lazima watu weusi wote tukubaliane na jambo moja kama manyumbu, watu weusi ni independent thinkers na wana uhuru wa kutofautina maoni
Hii dunia ni kijiji, kama ungekuwa unafuatilia hoja za haya maandamano na hoja za kuyapinga, ungeona wanaoyapuuza wana hoja za msingi kuliko hawa waandamanaji, ila kwa kuwa wewe ni mfuata mkumbo hutaweza
Sina muda wa kufuatilia hoja za wanayoyapinga. Ila yangepingwa na viongozi wa nchi ningepata taarifa mwenye radio yangu ya mbao hapa. Taarifa ninazopata ni hata hao wanasikitika.