Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Ubaguzi upo kila sehemu. Hata watu wa race moja wanaweza kubaguana wao kwa wao, kama ilivyo India huko.Cosovo Kuna ethnic and racial discrimination kuliko US, wanabagua hadi wazungu wenzao, Serbs, Bosniaks, Turks
Halafu wanaenda kuandamana ofisi za ubalozi wa US kupinga maandamano
Cosovo, Tunisia, Bulgaria
Nadhani wa msingi ni kwamba, ubaguzi wa aina yoyote ile, popote pale, ni mbaya.