Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
Monkey see, monkey do.Faux bravado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Monkey see, monkey do.Faux bravado
Wahamiaji weusi ni zao la Utawala mbovu AfricaHaya maandamano yanaweza yakawa yanatuma ujumbe huu, na inawezekana watu wengi wanayapa promo sio kwa ajili ya kuwa wanajali watu weusi, Ila wanataka kuziambia nchi zao kuwaruhusu wahamiaji weusi Ni hatari, kamwe hawatachangamana
Hasa Kipindi hiki ambacho wimbi la wahamiaji limeshika Kasi ulimwenguni
Monkey see, monkey do.
I think its because they are the ones who are victims with discriminatory police brutality
Sasa si ndio propaganda zenyewe, USA na yenyewe inafanya propaganda pia, na ukifanya tunasema hizi Ni propaganda,Hata Marekani mbona huwa inazisuta nchi zingine kuhusu haki za binadamu ilhali kuna baadhi ya Wamarekani hawazipati hizo haki!
Ubinadamu ndo ulivyo. Kusutana kwa namna hiyo ndo sehemu ya kukumbashana kuhusu mapungufu tulonayo binadamu.
Kama hujui shombe anakuwa treated kama blackAcha uongo USA haijawahi kuwa na rais black na haitakuja kutokea,Obama ni shombe mchanganyiko wa rangi 2 sio mweusi maana Mama yake ni mzungu pure na baba yake ndio mweusi.itachukua zaidi ya miaka 500 USA kuwa na rais mweusi.
Wengine wanafuata mkumbo tu.Hizi propaganda bana, eti hadi Cosovo na Bulgaria
So US ambayo Imewahi kuwa na black president, black secretary of state, black governors, Mayors, Senators, Senior Police officers etc etc imekuwa racist kuliko hata Cosovo na Bulgaria?
Ukweli kabisaKwanza haya maandamano yanatuharibia zaidi na kutufanya tudharauliwe na kila mtu, kwamba sisi tunataka special treatment kwa sababu ni binadamu wanyonge, pale ambapo wengine wanafight wanajitahidi kufanikiwa maishani sisi tunataka special treatment, sasa hivi kuna Universities USA zimelower reqirements for Blacks ili kuwasaidia, hiyo inaleta picha gani? Wengine wote Wachina, Wahindi wana struggle to get ahead sisi tunapewa special treatment, sasa nani atakuheshimu?
Hii BLM inaharibu zaidi maisha na heshima yetu kuliko watu wanavyodhania, hakuna mtu atatuheshimu, kwani tunaonesha unyonge wetu mbele ya Dunia, I mean kwa nini Muzungu anayeishi New Zealand akaandamane eti Black life matters? Ina maana sisi kama weusi tuna tatizo, ndiyo tafsiri yake, ...
Zingine ni stress tu. Sasa Kenya wanaandamana nini?Jamaa wametisha sana, hongera kwao.
Ila hii kitu ukichimbua kwa undani zaidi unaweza sema ni kitu ilipangwa ili kizima ishu ya Corona. Eti hadi hapa Kenya wanaandamana aisee
Wishful thinkingI think the 2020 election is different.
Looking back at a number of issues he has been recently in, including his response to the protests of George Floyd killing and police brutality, his handling of the Covid 19 pandemic, the claims that he has been lying about things, the growing number of political and retired military figures denouncing him etc, etc.
I don't see his chance of winning this election.
Where is your argument then?
We ngedere ngabu
No one is saying BLM think that White lives or others lives don't matter. All lives should matter but it's just that's not what we are talking about right now.In this case it should be; all lives matter, whether be it black, yellow, white, blue etc.
By the Slogan; " black lives matter"- it implies the rest lives do not matter and this notion ushers in new form of racism making the black superior over the rest colours.
That is my take.
No one is saying BLM think that White lives or others lives don't matter. All lives should matter but it's just that's not what we are talking about right now.
There's a clear issue that needs to be dealt with, and by saying "all lives matter " yeah It's true but is seen as a countermovement by trying to bury specific issue with non-specific, because some people don't think black lives really matter.
Black Lives Matter is associated to unfair treatment of black people so ALM (all lives matter) will not bring attention to very specialized issues just as BLM does.
Having said that, BLM needs to remain as its because it draws attention to the specific problem at hand Mokaze.
Copied..Where is your argument then?