Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
You've totally missed the point Mokaze.Paula, all I have grasped from your account is an agreement with me that; "ALL LIVES MATTER"
Therefore the best way is to rephrase BLM into ALM.
ALM has broader sense than BLM, the broder sense it is the better, and it leaves no room for other forms of oppressions by one race over the another.
Okay let's do this,
Me: CANCER ya vizazi kwa wanawake ni hatari na wengi wamekuwa wagumba na kupoteza maisha. Tupambane kutokomeza huu ugonjwa.
YOU: Cancer zote ni hatari au magonjwa yote ni hatari so Kusema saratani ya vizazi ndio hatari maana yake unasema zilizobaki siyo hatari.
Ndio tunajua cancer zote au magonjwa yote ni hatari lakini sicho tunachokizungumzia hapa. Hii ni campaign kwa ajili ya wakina mama wanaopoteza maisha na vizazi kwa sababu ya cancer ya vizazi. Usilazimishe tujumuishe magonjwa yote kwa sababu dhumuni la saratani ya vizazi itapoteza nguvu kwenye kutatuliwa.
Unapochagua jambo moja na kuamua kudeal nalo inaleta maana tofauti na issue za generality.
Wewe unadhani kwanini kuna campaign za HAKI ZA WANAWAKE? Haki za WATOTO , haki za Wajane? Unadhani hii ina maana waliobaki hawana haki? Au hawatakiwi kuwa na haki?