Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Ubaguzi upo kila sehemu. Hata watu wa race moja wanaweza kubaguana wao kwa wao, kama ilivyo India huko.Cosovo Kuna ethnic and racial discrimination kuliko US, wanabagua hadi wazungu wenzao, Serbs, Bosniaks, Turks
Halafu wanaenda kuandamana ofisi za ubalozi wa US kupinga maandamano
Cosovo, Tunisia, Bulgaria
naweza kukubaliana na wewe, haya maandamano na wanayoyaunga mkono Wana agenda zao nyingine Japo baadhi Ni genuine
Hard to tell.What a time to be alive! By the way, let's talk politics Ngabu; do you see Trump getting through this year's election?
Hao jamaa wameenda ubalozi wa US kuandamana ikimaanisha Kama wanaisuta Marekani kwa ubaguzi, wakati kwao upo worseUbaguzi upo kila sehemu. Hata watu wa race moja wanaweza kubaguana wao kwa wao, kama ilivyo India huko.
Nadhani wa msingi ni kwamba, ubaguzi wa aina yoyote ile, popote pale, ni mbaya.
Mzee wa 'Awol' na 'Faux bravado' na viingereza vingine uchwara na za kukera. Si ni wewe kila mara humu unang'aka CNN ni fake news siku hizi hata huifuatilii? Kwa nini sasa unacopy huko na kuja kupaste humu.Friends...this one has a different feel to it.
There’s something about it that makes it very different from events of the past.
Demonstrations from Kosovo to Tunisia to Bulgaria.
From Seoul to Tokyo.
Wow! Just wow!
I hope it will be that watershed moment in the quest for social justice and equal human rights.
I’ll keep my fingers crossed and my eyes wide open that it is that moment!
View attachment 1471428View attachment 1471429View attachment 1471430View attachment 1471431View attachment 1471432View attachment 1471433View attachment 1471434View attachment 1471435View attachment 1471436
Jamii zozote zisizo fanana hazichangamaniUbaguzi upo kila sehemu. Hata watu wa race moja wanaweza kubaguana wao kwa wao, kama ilivyo India huko.
Nadhani wa msingi ni kwamba, ubaguzi wa aina yoyote ile, popote pale, ni mbaya.
That's a Million Dollar question, Sir! I hope not. 😁What a time to be alive! By the way, let's talk politics Ngabu; do you see Trump getting through this year's election?
Kwanza haya maandamano yanatuharibia zaidi na kutufanya tudharauliwe na kila mtu, kwamba sisi tunataka special treatment kwa sababu ni binadamu wanyonge, pale ambapo wengine wanafight wanajitahidi kufanikiwa maishani sisi tunataka special treatment, sasa hivi kuna Universities USA zimelower reqirements for Blacks ili kuwasaidia, hiyo inaleta picha gani? Wengine wote Wachina, Wahindi wana struggle to get ahead sisi tunapewa special treatment, sasa nani atakuheshimu?
Hii BLM inaharibu zaidi maisha na heshima yetu kuliko watu wanavyodhania, hakuna mtu atatuheshimu, kwani tunaonesha unyonge wetu mbele ya Dunia, I mean kwa nini Muzungu anayeishi New Zealand akaandamane eti Black life matters? Ina maana sisi kama weusi tuna tatizo, ndiyo tafsiri yake, ...
Haya maandamano yanaweza yakawa yanatuma ujumbe huu, na inawezekana watu wengi wanayapa promo sio kwa ajili ya kuwa wanajali watu weusi, Ila wanataka kuziambia nchi zao kuwaruhusu wahamiaji weusi Ni hatari, kamwe hawatachangamanaJamii zozote zisizo fanana hazichangamani
Far right groups wanaweza kutumia hii kupata points kuwa, watu weusi na weupe hawachanganyikani na kukawa na amani, wanatumia hoja hii kuwa USA miaka 400 Hadi leo blacks na White bado hawaivi,
So kuruhusu wahamiaji weusi nchi ya weupe Ni disaster...hii agenda inaweza kuwepo pia kwa hao wanaondama,
Wauaji wabaguzi wa ccm hawaoni jipyaMbona Tz hatuandamani? [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
Sikiliza wewe...Mzee wa 'Awol' na 'Faux bravado' na viingereza vingine uchwara na za kukera. Si ni wewe kila mara humu unang'aka CNN ni fake news siku hizi hata huifuatilii? Kwa nini sasa unacopy huko na kuja kupaste humu.
SijaelewaSikiliza wewe...
Kuna CNN Domestic na CNN International.
CNN Domestic inaonekana Marekani. Hii ndo imebadilika sana. Imekuwa chombo cha propaganda.
CNN International bado iko vizuri kiasi.
Hizi ni stesheni mbili tofauti ingawa zinachangia jina moja, lakini pia zinalenga kufikia hadhira tofauti.
Kuna baadhi ya vipindi huwa vipo kwenye stesheni zote mbili. Ila vipindi vingi huwa vipo tofauti.
Kwa mfano, vipindi vya Marketplace Africa na Inside Africa huwa havionekani kwenye CNN Domestic.
Hata watangazaji ni tofauti.
Kwa hiyo, ninapoinanga CNN, huwa namaanisha ile ya Domestic, ambayo haionekani kwenye nchi zingine.
Hizo picha sijazitoa kwenye CNN Domestic. Nimezitoa CNN International, ambayo kwangu bado iko ‘palatable’.
Umeelewa sasa?
Hata Marekani mbona huwa inazisuta nchi zingine kuhusu haki za binadamu ilhali kuna baadhi ya Wamarekani hawazipati hizo haki!Hao jamaa wameenda ubalozi wa US kuandamana ikimaanisha Kama wanaisuta Marekani kwa ubaguzi, wakati kwao upo worse
Wangeandamana kupinga ubaguzi in general afadhali
Basi utakuwa uko juha kama jiwe [dumb as a rock].Sijaelewa
Hizi propaganda bana, eti hadi Cosovo na Bulgaria
So US ambayo Imewahi kuwa na black president, black secretary of state, black governors, Mayors, Senators, Senior Police officers etc etc imekuwa racist kuliko hata Cosovo na Bulgaria?
Hard to tell.
Trump is not your typical politician.
I didn’t see him winning in 2016 and he did.
My gut feeling tells me he won’t win again this year...but my gut feeling is just that. A gut feeling.
We’ll find out on election day.
Faux bravadoBasi utakuwa uko juha kama jiwe [dumb as a rock].