Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
-
- #61
bora ulieachana nayoNilitaka kufanya hii ishu ila nika kumbuka sasa hivi kila kitu kipo kwenye social media apps kama instagram, facebook, twitter n.k so nika achana nayo...
IlikuejeBado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini alipewa dola 2000 na UN
Mbongo?Bado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini alipewa dola 2000 na UN
Sawa kama huamini ni wewe angalia tanzania emerging youth award 2023 uone wenye blog na podcast walivoshinda pesa ndefuMbongo?
Unafungua vipi hii mkuu,maana nataka sanaMi nimewekeza kwenye online radio napata wasikilizaji adi 60k kwa siku View attachment 2935266
0757560345Unafungua vipi hii mkuu,maana nataka sana
Aigeuze kuwa rahatupu aone kama hajapata wahudhuriaji wengi kwenye hiyo blogNilitaka niseme hivi kaka watu hawasomi sikuizi
ulikua umetarget ela za google? miaka 4 una views 8k? mkuu hauko seriousBlog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
- Hamna hela
- Hamna viewer
- Hamna comment
- Hamna faida yeyote
Naambulia kulipia tu domain
Kuna sehemu nimesema siamini? Mimi nmeuliza ni mbongo? Ndicho nilitaka kujuaSawa kama huamini ni wewe angalia tanzania emerging youth award 2023 uone wenye blog na podcast walivoshinda pesa ndefu
Ni mbongo si yeye tu wapo wengi wanapiga pesa mimi nikiwemo ila mimi ni online Radio [emoji343]Kuna sehemu nimesema siamini? Mimi nmeuliza ni mbongo? Ndicho nilitaka kujua
Umeniinspire na online radio yako umekuja tofauti. Niliuliza hivyo kwa sababu nilitaka kujua kama ni mbongo au ni wa mbele maana niliona ilikuwa ela kidogo ila kama ni mbongo ni nyingi. Kitu kimoja ambacho nimekinotice... Huwezi fanya mtu anachofanya ukafanikiwa unless kiko ndani yako.Ni mbongo si yeye tu wapo wengi wanapiga pesa mimi nikiwemo ila mimi ni online Radio [emoji343]
Tafuta mentor au partner au mwekezaji uweke msukumo kwenye hiyo kaziBlog yangu ina miaka miwili lakini hamna lolote;
Wakuu niliingia kwa kukurupuka kwa kuwasikiliza Motivation speaker.
- Hamna hela
- Hamna viewer
- Hamna comment
- Hamna faida yeyote
Naambulia kulipia tu domain
Ulichosema ni sahihi kabsa,alfu mi nasema kila siku kama hauko connected na watu uwezi kufanikiwa kwa haraka mtu una blog yako ata rafiki zako awajui sasa utafanikiwa vipi? Ujajiunganisha na bloggers wezio huna social network dah!Umeniinspire na online radio yako umekuja tofauti. Niliuliza hivyo kwa sababu nilitaka kujua kama ni mbongo au ni wa mbele maana niliona ilikuwa ela kidogo ila kama ni mbongo ni nyingi. Kitu kimoja ambacho nimekinotice... Huwezi fanya mtu anachofanya ukafanikiwa unless kiko ndani yako.
Mimi na earn ela ndefu online but si kati ya hayo yote. Blogging ilinishnda sikumaliza hata mwezi nikaona si passion yangu. YT same, nikaja kuona passion yangu ni kuuza services zangu. Yani ile mikutano na maclients, feedback za kazi nilizofanya, ratiba za vikao nao mwezi mzima I just enjoy every bit of it.
SawaTafuta mentor au partner au mwekezaji uweke msukumo kwenye hiyo kazi