ashushie na karanga mbichiiii!
ukute nae aliongea maana mijitu km ile wao wansema ila wanapeleka ya wenzao
Hahahah..kwani betina ana genye??
tena atake deep breath!!
aache uchonganishi ndo mana kumbe ashapigwagwa huko uk
haloooooooooooooooooooooowwwee
*(your)you are, *(where)were
Sijaelewa kabisa kilichoandikwa hapa.!
Ha ha ha loh chezea bibi bomba wewe kabebwa na mbeleko
ukute nae aliongea maana mijitu km ile wao wansema ila wanapeleka ya wenzao
kumbe jeee....
kichomleta mkuku km ana tumbo la kuhara nini...?!!
Hahahahahahaha,,,..kaja na bitch bitch vitu gani???toka lini ukamchamba mtu kwa kiinglish....akitulize apa....asinitingishe nna mshono mie...mxeeew
We nae hebu kafie mbele.... kudundwa umedundwa sana..
Na hivi huna nyama naona walikua wanapiga mifupa tu
Katamu kwakweli..walau kamenipa kicheko after mnuno wa ushindi wa bibi bomba sitti
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh
anajihashua ka maharage
kuruka ruka ndo kuiva kwake
aende zake chiingereza apeleke miss tz huko!!
kajala nae mbaya,yaani anamteta mtu aliemuokoa na segerea,jamani wanasheria hivi haiwezekani wema akatengua ile bill aliyolipa,yaani arudishiwe pesa yake ili kajala akatumikie kifungo
kajala nae mbaya,yaani anamteta mtu aliemuokoa na segerea,jamani wanasheria hivi haiwezekani wema akatengua ile bill aliyolipa,yaani arudishiwe pesa yake ili kajala akatumikie kifungo