Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

tena atake deep breath!!
aache uchonganishi ndo mana kumbe ashapigwagwa huko uk
haloooooooooooooooooooooowwwee

Hahahahahahaha,,,..kaja na bitch bitch vitu gani???toka lini ukamchamba mtu kwa kiinglish....akitulize apa....asinitingishe nna mshono mie...mxeeew
 
Ha ha ha loh chezea bibi bomba wewe kabebwa na mbeleko

ukute nae aliongea maana mijitu km ile wao wansema ila wanapeleka ya wenzao

kumbe jeee....
kichomleta mkuku km ana tumbo la kuhara nini...?!!

Hahahahahahah..,kwakweli nimecheka....daah uzee huu kweli ni wa kupigwa kisa umbea???ila sishangai tabia ni kama ngozi ndo hawezi badilika tena hadi wajukuu zake watakuja shuhudia bib yao akisutwa
 
Hahahahahahaha,,,..kaja na bitch bitch vitu gani???toka lini ukamchamba mtu kwa kiinglish....akitulize apa....asinitingishe nna mshono mie...mxeeew

anajihashua ka maharage
kuruka ruka ndo kuiva kwake
aende zake chiingereza apeleke miss tz huko!!
 
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh

hivi huyu si alishawahi kula kipondo na mbuta nanga?yaani mtu unatoka ulaya unafika kuingilia maugomvi yasiyokuhusu huna kazi.lakini anaonekana tu mbeambea kamdomo ka chiriku.na roho yake inaonekana mbaya kwa kuangalia tu sura yake.
 
sijui akirudikwa mume wake yule mfupi kama mimi atasema nini. nadhani huko majuu hana wa kuongea nae?na bado aacha mambo ya mabinti.ye bibi mzima jamani mbona aibu hii ya mwaka.B]QUOTE=brenda18;10855229]Hahahahahahah..,kwakweli nimecheka....daah uzee huu kweli ni wa kupigwa kisa umbea???ila sishangai tabia ni kama ngozi ndo hawezi badilika tena hadi wajukuu zake watakuja shuhudia bib yao akisutwa[/QUOTE]
 
kajala nae mbaya,yaani anamteta mtu aliemuokoa na segerea,jamani wanasheria hivi haiwezekani wema akatengua ile bill aliyolipa,yaani arudishiwe pesa yake ili kajala akatumikie kifungo
 
kajala nae mbaya,yaani anamteta mtu aliemuokoa na segerea,jamani wanasheria hivi haiwezekani wema akatengua ile bill aliyolipa,yaani arudishiwe pesa yake ili kajala akatumikie kifungo

ukinisaidia ndo nikunyenyekee ka mtoa pumzi!!
kuteta kawaida kwa wanawake!!
hapa mtata jestina maana kumbe ye anajiskia fakhari wakigombana
ktk hii dunia aamini mama ako mzazi tu
 
Back
Top Bottom