Shida ipo pale mtu akiona brand tuu BMW hana haja ya kuuliza anajipa jibu kua inakula sana mafuta na spare ni ghali pia adimu. Shidi ipo kwetu kukariri kitu miaka na miakaMbona 1 series haijawahi kua mlaji wa mafuta" kama unavyosema...
Spea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo.
Mfano kuna 1 series ya mwaka 2005, nyeupe ina cc 1590 bei yake hadi bandari ya Dar es Salaam ni 2,986 USD (Tsh. 6,930,000). Ingawa bei hii inaweza kushuka hadi around 2700 USD (Tsh. 6,265,000) akiagiza mtu ambae ameagiza mara nyingi na ana offer...
Imekaa kichuma mboga flani hivi.Dah ile X5 old ni mbaya aisee na yale kama matege hivi kwa nyuma..
Wapunguze kutumia plastics materials pia kwny water cooling system.Mchawi water pump tu. BMW walifanya ungese sana kwenye models za miaka ya 2005-2012 hivi kuweka electrical water pump.
Yeah F series nimeoma improvement. Wameacha Electric Pump wameenda zile za kawaida Mechanical. Nimebadirisha pump mbili aisee each M1 na ushee. Sina hamu.Wapunguze kutumia plastics materials pia kwny water cooling system.
Aisee hapo sio mchezo.Yeah F series nimeoma improvement. Wameacha Electric Pump wameenda zile za kawaida Mechanical. Nimebadirisha pump mbili aisee each M1 na ushee. Sina hamu.
Hahah jombaa Extrovert unaitwa huku.Thread mzuri sana hii, ila itaharibika pale tu member wa kuitwa Extrovert akijitokeza.
Me nna E90 tamu ila plastic sana. Nahisi E46 ni better in terms of durability.Aisee hapo sio mchezo.
Unamshauri nini mtu anayetaka kuhamia bimmer 3 series (E46/E90) au hapo kwny 5 series E60/E61) akitokea toyota mkuu?
Nissan xtrail same year 2005 nayo bei ni hiyo hiyo 13mlSpea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo.
Mfano kuna 1 series ya mwaka 2005, nyeupe ina cc 1590 bei yake hadi bandari ya Dar es Salaam ni 2,986 USD (Tsh. 6,930,000). Ingawa bei hii inaweza kushuka hadi around 2700 USD (Tsh. 6,265,000) akiagiza mtu ambae ameagiza mara nyingi na ana offer.
Gharama za ushuru wa TRA kwa hii gari ni Tsh. 5,864,268.65 (20/1/2021, saa 2:40 asubuhi)
Kwa hiyo jumla ya bei ya gari na ushuru ni 6,265,000 + 5,864,268 ambayo ni 12,129,268/=
Sasa hii ongezea laki nane (800,000) za kulipia shipping line, wharfage, port charges, clearing agent fee, plate number na kadi ya gari. Hii ni makadirio ila najua haitacheza mbali na hapa na mimi nilitumia less than that. Jumla kuu itakua roughly 13,000,000/=. Sasa ukiangalia hii bei ni more or less the same na bei za IST ya mwaka huo huo baada ya ushuru kupanda.
References:
Bei na specifications za gari nimeziona hapa
Bei ya ushuru wa TRA nimeiona hapa pia
Hio DIY system mmeanzishia wapi mkuu?Ila BMW ni mnyama, hasa wale wapenda magari na trip ndefu. X series is better choice for our case, X1, X3, X5, X6 all are better cars, tatizo bongo wauza vipuli + mafundi wana discarage sana kumiliki hizi ndinga. Wakali tumeanzisha DIY system, you own it, you maintain it yourself. Bimmer forever